Must see Movies

Must see Movies

hyo hpo ya 3, inamuonesha hadi baba yake na samara Morgan, mdingi alimbaka mama yake na samara Morgan, endelea mwenyewe....
1683718960267.jpg
 
sema ninyi ndo hamjawahi ona on real life

Tony mkongo ushawahi muona wakiwa tiz??

hyo mambo ya akina iko yanafanyika mtaani

nenda hpo mabibo mwisho kuna akina bruce Lee wanapigana the same

humo kwnye nobody hamna vipondo.
Enewei umekuwa mbishi sana 😀😀😀
Nenda kaangalie youtube REAL KRAV MAGA In STREET FIGHT vipondo vya dizaini hiyo ndo tunavyo zungumzia.
Utavikuta kwa special forces tu. Na mpaka u qualify kuitwa special force jua vipondo vya hit and kill unavijua.

Hiyo krav maga ninayo izungumzia ni moja ya sanaa ya mapigano iliyochaguliwa na jeshi la israel ambao dhumuni pake ni kumaliza pambano ndani ya dakika chache ku disarm adui na kutumia siraha yake sasa hizo nyingine mpaka uanze kuroliroli umeshatandikwa risasi ya kiuno 😁😁😁

Sita coment zaidi kuhusu jambo hili tuendelee ku enjoy movies wadau
 
Utalazimika kuiangalizia youtube hiyo clip hapo juu kuna matukio mawili humo. Nimelenga uangalie tulio la pili ndio linaendana na tunacho zungumza hapa korokwincho
Screenshot_20230511-151810.png
 
Enewei umekuwa mbishi sana [emoji3][emoji3][emoji3]
Nenda kaangalie youtube REAL KRAV MAGA In STREET FIGHT vipondo vya dizaini hiyo ndo tunavyo zungumzia.
Utavikuta kwa special forces tu. Na mpaka u qualify kuitwa special force jua vipondo vya hit and kill unavijua.

Hiyo krav maga ninayo izungumzia ni moja ya sanaa ya mapigano iliyochaguliwa na jeshi la israel ambao dhumuni pake ni kumaliza pambano ndani ya dakika chache ku disarm adui na kutumia siraha yake sasa hizo nyingine mpaka uanze kuroliroli umeshatandikwa risasi ya kiuno [emoji16][emoji16][emoji16]

Sita coment zaidi kuhusu jambo hili tuendelee ku enjoy movies wadau
yaani umeenda kushinda YouTube na google [emoji16][emoji16]

halafu krav sio kwa special forces tu

akina Fred mastro ni mmoja wa master wa hyo krav maga na anafundisha wengine

kwa kusaidia tu

hebu mtafute Master Teng-Yao akuoneshe wing Chun styles in reality.

uje useme sijui mambo ya fiction[emoji16][emoji16]
 
Sina myongeza umeshinda 💪💪💪
 
AKA 2023 KAMA HUJAICHEKI ITALUFAA KWA WKEND HII
 
mi nmeiona jana..
iko Good Adam yuko serious saa zote [emoji2][emoji2]
Mwili wake umejaa majeraha ya risasi. Sehemu niliyopenda zaidi ni kule pangoni kwakweli ingeendelea kwenye mishe za huko ingekuwa muvi nzuri zaidi ya hapo ilipo
 
Back
Top Bottom