Reuben Challe
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 2,940
- 5,511
Kwani shida iko wapi?MB 600 robo saa bdo huo muda unaotumia ni mwingi
yaani unapata average ya MB 1.5 per second
Ama sawa na 12mbps
kawaida sanaa hyo speed ni level ya 3g.
mimi binafsi siwez subiria hta GB 1 kwa dkika 20Kwani shida iko wapi?
Huwa una haraka sana na hiyo muvi au? Watu wengi wanadownload movie na kuiangalia baadaye, huwa hawana haraka sana na hawajali muda wa downloading kufikia dakika 15
Sidhani kama muda wa kudownload kuwa mrefu ni shida, tena ukizingatia haifiki hata dakika 30
Au download wakati unaangalia movie, unaacha movie nyingine inadownload kwa background
Yeah sio mbaya, unakuta kuna kuna downloads hata 4 zinaendelea kwa wakati mmoja means baada ya huo mda nakuwa nimeshusha movies nne, au season nzima!MB 600 robo saa bdo huo muda unaotumia ni mwingi
yaani unapata average ya MB 1.5 per second
Ama sawa na 12mbps
kawaida sanaa hyo speed ni level ya 3g.
Basi ndio maana una-mind kuhusu mudamimi binafsi siwez subiria hta GB 1 kwa dkika 20
nikiwa na airtel hyo GB 1 kwenye uc browser dk 10 nyingi
Sio mbaya hata kidogoYeah sio mbaya, unakuta kuna kuna downloads hata 4 zinaendelea kwa wakati mmoja means baada ya huo mda nakuwa nimeshusha movies nne, au season nzima!
Na hapo nipo kwenye limited bandwidth sidhan kama ni mbaya mkuu!
mmh labda hupend vitu vya haraka, ila mimi kwa kweli nishow showBasi ndio maana una-mind kuhusu muda
Wenzako wanaacha mzigo unashuka huku wanaangalia movie nyingine
Sielewi kwa nini niwe na haraka ya muvi ambayo nitaangalia baadae
Hii movie ina story ya kawaida sana, muda mwingi mtu yupo kwenye toroli anasukumwa.Nmemaliza kuicheki Covenant naipa 7/10
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii movie ina story ya kawaida sana, muda mwingi mtu yupo kwenye toroli anasukumwa.
Kweli kabisa, ya kawaida tuHii movie ina story ya kawaida sana, muda mwingi mtu yupo kwenye toroli anasukumwa.
nlikua naichek hapa nimesinzia dakika ya 15 tu , wacha ntajaribu kuiangalia weekend.. ikiinikera ntarudia bengazi soldiers/ tripple frontierKweli kabisa, ya kawaida tu
Secret soldiers of Bengazi ipo vizuri.nlikua naichek hapa nimesinzia dakika ya 15 tu , wacha ntajaribu kuiangalia weekend.. ikiinikera ntarudia bengazi soldiers/ tripple frontier
Hzo zote unazipata wap mkuu Google au plystoreMkuu hii goojara je ni zaidi ya Netnaija, na kuhusu Quality yake ya movie na je bando lake la movie mwisho huwa kwa movie kubwa ni ngapi
Nini movie au hizo website,Hzo zote unazipata wap mkuu Google au plystore
Website mkuuuNini movie au hizo website,
Kama una Opera min au phoenix browser mi ndo naingilia huko mara nyingi kuzipita, ni popote pale unaziona unapakua movie tu ni bando lako tuWebsite mkuuu
[emoji16][emoji16]movies za mission kama zile bado sijaona kama 13 hours:The secret soldiers of Benghazi na Black hawk down.Hii movie ina story ya kawaida sana, muda mwingi mtu yupo kwenye toroli anasukumwa.
Habari wakuuu nataka kucheki THE LAST KINGDOM NATAKA SESON 1 NA 2 MWENYE LINK NAOMBA TAFADHALI SANA MKUUU