Reuben Challe
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 2,940
- 5,511
Kwani shida iko wapi?MB 600 robo saa bdo huo muda unaotumia ni mwingi
yaani unapata average ya MB 1.5 per second
Ama sawa na 12mbps
kawaida sanaa hyo speed ni level ya 3g.
Huwa una haraka sana na hiyo muvi au? Watu wengi wanadownload movie na kuiangalia baadaye, huwa hawana haraka sana na hawajali muda wa downloading kufikia dakika 15
Sidhani kama muda wa kudownload kuwa mrefu ni shida, tena ukizingatia haifiki hata dakika 30
Au download wakati unaangalia movie, unaacha movie nyingine inadownload kwa background