Must see Movies

Must see Movies

MB 600 robo saa bdo huo muda unaotumia ni mwingi

yaani unapata average ya MB 1.5 per second

Ama sawa na 12mbps

kawaida sanaa hyo speed ni level ya 3g.
Kwani shida iko wapi?
Huwa una haraka sana na hiyo muvi au? Watu wengi wanadownload movie na kuiangalia baadaye, huwa hawana haraka sana na hawajali muda wa downloading kufikia dakika 15
Sidhani kama muda wa kudownload kuwa mrefu ni shida, tena ukizingatia haifiki hata dakika 30
Au download wakati unaangalia movie, unaacha movie nyingine inadownload kwa background
 
mimi binafsi siwez subiria hta GB 1 kwa dkika 20

nikiwa na airtel hyo GB 1 kwenye uc browser dk 10 nyingi
 
MB 600 robo saa bdo huo muda unaotumia ni mwingi

yaani unapata average ya MB 1.5 per second

Ama sawa na 12mbps

kawaida sanaa hyo speed ni level ya 3g.
Yeah sio mbaya, unakuta kuna kuna downloads hata 4 zinaendelea kwa wakati mmoja means baada ya huo mda nakuwa nimeshusha movies nne, au season nzima!
Na hapo nipo kwenye limited bandwidth sidhan kama ni mbaya mkuu!
 
Basi ndio maana una-mind kuhusu muda
Wenzako wanaacha mzigo unashuka huku wanaangalia movie nyingine
Sielewi kwa nini niwe na haraka ya muvi ambayo nitaangalia baadae
mmh labda hupend vitu vya haraka, ila mimi kwa kweli nishow show
Screenshot_20230608-191701_Speedtest.jpg
 
Back
Top Bottom