Reuben Challe
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 2,940
- 5,511
Yeah sureZote nzuri boss
Na namuona mtoto wa DOM na yeye lazima ataingia kwenye project huko mbeleni maana ameanza kwa motoKatika muendelezo wa movie za fast&furious kuna project kama 5 hiv zinakuja
bdo ipoAirtel walikua nayo inaitw SME sijui kama bado ipo
uliikutaga GB 7 kwa 5000 kwa week hpo halotel?Sisi tusio wafanyakazi ndio hatupati huo udambwiudambwi? 15, 000 kwa 15GB ni deal zuri sana sana sanaaaa
Dah hii ofa ilinipita jamaa angu alikuwa anajiunga sana sidhan kama bado ipouliikutaga GB 7 kwa 5000 kwa week hpo halotel?
Kati ya movie za ovyo kuwahi kutokea toka Japan ipigwe minyuklia na USA ni hizo Ruroin KenshinRurouni Kenshin ...japanes best action movie series hii kitu ni moto saana [emoji91][emoji91][emoji91], ziko tano hizi hapa
1- Rurouni Kenshin ..the origins 2012
2- Rurouni kenshin..kyoto inferno 2014
3- Rurouni kenshin... the legend ends 2014
4- Rurouni kenshin... The final 2021
5- Rurouni kenshin.. The beginning 2021
Mi siwezi kuirufia hiyo zaidi ya mabomu mawili matatu na ndege kupita juu ya milima sijaona cha ajabu humoMpaka sasa Kwa muvi mpya zilizotoka kwangu Top Gun Bado ipo juu, nshairudia mara kadhaa na Bado. Napenda sana actions za fighter jets hivyo naipa 9.5/10[emoji847][emoji3][emoji3]
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Nimeiangalia mala 3 ntailudia tena mwakaniMpaka sasa Kwa muvi mpya zilizotoka kwangu Top Gun Bado ipo juu, nshairudia mara kadhaa na Bado. Napenda sana actions za fighter jets hivyo naipa 9.5/10[emoji847][emoji3][emoji3]
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Cha ajabu kama kipi bro? ama sio shabiki wa zile mambo, hata story line pia hujaipenda? Hebu irudie Tena mzee[emoji3]Mi siwezi kuirufia hiyo zaidi ya mabomu mawili matatu na ndege kupita juu ya milima sijaona cha ajabu humo
Bora nirudieCha ajabu kama kipi bro? ama sio shabiki wa zile mambo, hata story line pia hujaipenda? Hebu irudie Tena mzee[emoji3]
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Tupe basi story yake hata kwa kifupiMpaka sasa Kwa muvi mpya zilizotoka kwangu Top Gun Bado ipo juu, nshairudia mara kadhaa na Bado. Napenda sana actions za fighter jets hivyo naipa 9.5/10[emoji847][emoji3][emoji3]
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Hiyo Restless ipo vizuri Sana binafsi napenda movie zenye story Kali but isiwe ya kivita tuBora nirudie
guy ritchie the covenant
Lone survivor
Hitman agent 47
Salt
Restless
Whitehouse down
Bourne legacy
Ila sio hiyo topGun
hyo movie naona inastahili rate ya 10/10Mpaka sasa Kwa muvi mpya zilizotoka kwangu Top Gun Bado ipo juu, nshairudia mara kadhaa na Bado. Napenda sana actions za fighter jets hivyo naipa 9.5/10[emoji847][emoji3][emoji3]
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Hapo kuna Fast X part2&3, part 2 inatoka april2025, kuna nyingine (spinoff movie) lead role atakuwa mwanamke, Halaf kuna itakayo muhusu hobbs (Dwayne Johnson) peke yake, halaf hobbs&show part2Na namuona mtoto wa DOM na yeye lazima ataingia kwenye project huko mbeleni maana ameanza kwa moto
Hy Fast X ni Noma sema wanachukua muda kuiandaa mpaka unasahauHapo kuna Fast X part2&3, part 2 inatoka april2025, kuna nyingine (spinoff movie) lead role atakuwa mwanamke, Halaf kuna itakayo muhusu hobbs (Dwayne Johnson) peke yake, halaf hobbs&show part2
Restless ndio hiyo ya Kifaransa auHiyo Restless ipo vizuri Sana binafsi napenda movie zenye story Kali but isiwe ya kivita tu
Mi naona Day Shift imekaa poa sana. Day Shift nimerudia mara sabaMpaka sasa Kwa muvi mpya zilizotoka kwangu Top Gun Bado ipo juu, nshairudia mara kadhaa na Bado. Napenda sana actions za fighter jets hivyo naipa 9.5/10[emoji847][emoji3][emoji3]
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app