Must see Movies

Sawa
Kama mapigano yanapaswa kuwa mafupi basi hizo movie sitakuja kuzielewa. Zaidi nitaziona ni average tu hata wafanye nini [emoji16][emoji16]
I think I like the other tastes more [emoji28][emoji28]
 
Nashangaa kuna mtu anasema eti muvi nzima mtu anakokotwa kwemye mkokoteni [emoji16][emoji16] watu sijui huwa wanaangalua muvi wakiwa wamelewa?
@Mac Alpho rip faza_nelly movie ya The Convenant uzuri wake ni storyline yake ilivyo yaani haichoshi sasa nyie mmeona tu habari ya kukokotwa hamjaona vile Ahmed alivyohustle na mwamba kupita vikwazo mbalimbali vya Talibans.

Pia kabla ya apo kuna kukimbizwa pale wapo wawili tu jamaa wanashuka kilimani hadi mmoja akadrop Riffle yake pia jinsi jamaa alivyompigania jamaa.
 
Sisi watanzania wengi huwa hatujali sana storyline(lugha tatizo kubwa sana kwa wengi wetu). Sie tunataka waongee kidogo ngumi zianze kutembea na risasi zipigwe za kutosha. Ndo maana wengi wanasifia SISU, RAID, na zingine zenye hadhi kama hiyo.

Ukifuatilia wengi hapa kuwauliza hiyo "night agent" inahusu nini utashangaa majibu ya walio wengi. Hiyo COVENANT movie tamu sana. Storyline nzuri na execution nzuri pia.

Ukitaka ngumi nyingi na risasi nyingi zisizo na ulazima angalia movie za kichina, Thailand na the likes
 
Corona iliharibu industry
 
ukishataja tu mambo ya vampires sijui mambo ya midege car racing movies

yaani mie kwa kweli siwez kupenda hata iweje.
 
mimi movie napenda zaidi kusikia zile direct speech za wahusika kuliko hzo dubbed audio

as long as iwe na English subtitles tu.
Ukipata yenye dual ni nzuri kuliko ya subs pekee
 
Ukipata yenye dual ni nzuri kuliko ya subs pekee
mimi nitachukua tu hyo dubbed audio endapo nitakosa eng subtitle ya movie husika

hta kma sielewi lugha ila napenda kusikia watu wakitamka maneno direct

najua wengi inawapa shida kufuatilia movie huku ukisoma subtitle.
 
ukishataja tu mambo ya vampires sijui mambo ya midege car racing movies

yaani mie kwa kweli siwez kupenda hata iweje.
Usiseme hata iweje coz umeshajijengea utamaduni wa kutoziangalia
I'm sure kama umeiona Day Shift usingesema hivi
 

Haya yote ni kwasababu nimeshindwa kukikubali unachokisifia wewe? Mimi naangalia mpaka documentaries, usidhani mimi ni mzee wa kufata ngumi au CD zilizotafsiriwa. Kiswalihili, Kiingereza na Kifaransa sio lugha unazoweza kutamba nazo mbele yangu.😂

Nimeangalia Hollywood movies nyingi sana, mbona siajaja kuziponda hapa?

Ieleweke tu kwamba sioni chochote kikubwa sana kwenye COVENANT kinachostahili hiyo hype mnayotoa (9/10), mzoefu wa movies hawezi kutoa rate ya 9 kwa movie kama covenant.

Nieleweke hivyo.
 
mimi nitachukua tu hyo dubbed audio endapo nitakosa eng subtitle ya movie husika

hta kma sielewi lugha ila napenda kusikia watu wakitamka maneno direct

najua wengi inawapa shida kufuatilia movie huku ukisoma subtitle.

Wewe unawaza kama mimi, nipe subtitles tu then nitaangalia movie ya lugha yoyote ile. Maana kinachotakiwa ni kuelewa story na mtiririko wa matukio.
 
Hapana sio kweli
Hata Watz tunajali story na siku hizi lugha sio tatizo kwa watu wengi. Naona watu wengi wanajua English
Wasiojua English wanaangalia hata movie za kutafsiriwa ili waelewe story.
Muvi kama ni mbaya, itabaki kuwa mbaya tu
 
Hapana sio kweli
Hata Watz tunajali story na simu hizi lugha sio tatizo kwa watu wengi. Naona watu wengi wanajua English
Wasiojua English wanaangalia hata movie za kutafsiriwa ili waelewe story.
Muvi kama ni mbaya, itabaki kuwa mbaya tu

Sio kwa ubaya mkuu, ila katika kitu ambacho siwezi kukaa kuangalia basi ni movie iliyotafsiriwa, jamaa huwa ni waongo sana aiseeh😂.
 
Sio kwa ubaya mkuu, ila katika kitu ambacho siwezi kukaa kuangalia basi ni movie iliyotafsiriwa, jamaa huwa ni waongo sana aiseeh[emoji23].
Hata Mimi siwezi kuangalia movie iliyotafsiriwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila naamini kuna Watz wanaangalia za kutafsiriwa. Mi chimbo langu ni Netnaija. Lugha yoyote ile ila cha msingi iwe na subtitles [emoji28][emoji28]
 
Kwaiyo kwako Day shift ni bora kuliko Top gun kwa sababu ya wingi wa action scene
 
Kwaiyo kwako Day shift ni bora kuliko Top gun kwa sababu ya wingi wa action scene
I mean ni better than Top gun because it's more interesting
Day Shift ni more interesting than Top gun. Kuliko kunihoji sababu moja moja ni heri nije kwenye conclusion

DAY SHIFT na TOP GUN ni MBINGU na ARDHI kwa upande wangu.
Day Shift iko poa kuliko Top gun. That's it
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…