Reuben Challe
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 2,940
- 5,511
SawaHapo kwenye muda mfupi wa mapigano wameendana na uhalisia wa mapigano ya ndege, hayatakiwi kuzidi dakika 5 mkuu, refer kama umeiangalia Ile behind enemy lines ya Owen Wilson Ile scene ya fighter inavokimbizana na makombora. Mda mfupi tu
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Kama mapigano yanapaswa kuwa mafupi basi hizo movie sitakuja kuzielewa. Zaidi nitaziona ni average tu hata wafanye nini [emoji16][emoji16]
I think I like the other tastes more [emoji28][emoji28]