Must see Movies

Yoyote alizitazama hizi movie hapa, atoe recommendation niingie mzigoni.

GET OUT
TENET
SEVEN
SHOOTER
THE GREEN MILE
INSIDE MAN.

Lakini pia kama kuna movie nyingine za moto ambazo unaweza suggest unaweza kuweka. Genre ni Action, Thriller, Crime and Mystery.
 
Top gun sio movie ya kuishindanisha na Day shift kuanzia mapato ya movie, rate na Tuzo Top gun inakuwa imeiacha Day shift mbali sana
 
Top gun sio movie ya kuishindanisha na Day shift kuanzia mapato ya movie, rate na Tuzo Top gun inakuwa imeiacha Day shift mbali sana
Naongelea movie yenyewe sio mafanikio
Mimi siamini kuwa movie ikiuza sana eti ndio nzuri. Naangalia ni muvi ipi imekonga moyo wangu.

Day Shift kuwa kali kuliko Top gun ni mtazamo wangu. Nilikuwa siongelei mauzo wala mafanikio
 
Ya kwanza story yake ipo vizuri ni horror movie ya pili nayo ni kali mambo yake sijui ni kama physics 🤣ila wengine watakuja maliza za chini hizo,
 
Kaangalie The Night Comes for Us [emoji28][emoji28]
 
Hapana haiko Ivo tunaelewa sana hizo lugha hata bila subtitle hata kama mtu huyadaki maneno yote, Covenant ukiipa 9/10 je hacksaw ridge tuipe ngap mana story zake ni kama zinataka kufanana hivi. Kubali ukatae story Yale ni average tu

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
get out ni story nzuri sana, kwa wale wazee wa kupenda vitonga vya kulelewa

kma utaipenda hyo get out pasi na shaka utaipenda na

INVITATION (2022)

ila nakusihi sanaaaaa

tazama hzi

1. dead silence (2007)
2. vacancy (2007)
3. orphan (2009)



pia usiache kutazma hyo GREEN MILE iko so emotional.
 
Iyo Tenet utulize akili tofauti na hivyo utatoka apeche alolo yaani mweupe kabisa usielewe kitu.
 
Iyo Tenet utulize akili tofauti na hivyo utatoka apeche alolo yaani mweupe kabisa usielewe kitu.
[emoji1787][emoji1787]inaonekana ni suala limeumiza watu wengi duniani. Binafsi sijawahi kuiangalia nikaimaliza.

Maisha yalivyokuwa magumu hivi wengine tunahitaji kitu cha kufuraisha ubongo, sasa unaangalia movie lakini unajikuta unakaza fuvu ova unajiandaa na mtihani.
 
Iyo movie kaka nimeiangalia kama siku tatu na ni HD kabisa sio kwanza Cam version lakin nilikuja kuelewa nilivyoelezewa na mshkaji wangu, Sasa movie ya masaa 2-3 naingalia masaa 72 unafikiri kuna nini apo[emoji16]
Hiyo Tenet inapaswa niishushe kutest IQ yangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi mpk kuja kuielewa TENET ilibidi niende YouTube nikakuta video jamaa ameielezea kwa undani ndipo nikaludi tena kuitazama nikaelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…