Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,549
- 10,995
Apo kwa wasioiona B wataipa A credit lakin uhalisia B ni kigongo haswaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apo kwa wasioiona B wataipa A credit lakin uhalisia B ni kigongo haswaaa
Sure1 ilikuwa vizuri sanaDon't breathe 1 (sio 2) iko more realistic hasa upande wa actions.
Top gun sio movie ya kuishindanisha na Day shift kuanzia mapato ya movie, rate na Tuzo Top gun inakuwa imeiacha Day shift mbali sanaSasa wewe unajudge movie ambayo haujaiona then unaanza kuingiza movie za Jackie Chan [emoji38][emoji38]
Nilichokuwa nasema ni kwamba Day Shift ni kali kuliko Top gun
Kwenye Top gun Maverick sijaona cha maana zaidi ya hype ambayo watu wanaipa
Kwanza umeshajionesha kuwa ili movie iwe nzuri kwako ni lazima iwe na characters unaowapenda wewe. Sishangai kwa nini hukuiangalia Day Shift
Naongelea movie yenyewe sio mafanikioTop gun sio movie ya kuishindanisha na Day shift kuanzia mapato ya movie, rate na Tuzo Top gun inakuwa imeiacha Day shift mbali sana
Ya kwanza story yake ipo vizuri ni horror movie ya pili nayo ni kali mambo yake sijui ni kama physics 🤣ila wengine watakuja maliza za chini hizo,Yoyote alizitazama hizi movie hapa, atoe recommendation niingie mzigoni.
GET OUT
TENET
SEVEN
SHOOTER
THE GREEN MILE
INSIDE MAN.
Lakini pia kama kuna movie nyingine za moto ambazo unaweza suggest unaweza kuweka. Genre ni Action, Thriller, Crime and Mystery.
Kaangalie The Night Comes for Us [emoji28][emoji28]Yoyote alizitazama hizi movie hapa, atoe recommendation niingie mzigoni.
GET OUT
TENET
SEVEN
SHOOTER
THE GREEN MILE
INSIDE MAN.
Lakini pia kama kuna movie nyingine za moto ambazo unaweza suggest unaweza kuweka. Genre ni Action, Thriller, Crime and Mystery.
Hii tayari ila story yake ilikuwa ni ya kijinga na action zake nyingi ni unreal, nilikubali vibe lilikuwa mle ndani ila sio movie ya kuiburudisha akili.Kaangalie The Night Comes for Us [emoji28][emoji28]
Hapana haiko Ivo tunaelewa sana hizo lugha hata bila subtitle hata kama mtu huyadaki maneno yote, Covenant ukiipa 9/10 je hacksaw ridge tuipe ngap mana story zake ni kama zinataka kufanana hivi. Kubali ukatae story Yale ni average tuSisi watanzania wengi huwa hatujali sana storyline(lugha tatizo kubwa sana kwa wengi wetu). Sie tunataka waongee kidogo ngumi zianze kutembea na risasi zipigwe za kutosha. Ndo maana wengi wanasifia SISU, RAID, na zingine zenye hadhi kama hiyo.
Ukifuatilia wengi hapa kuwauliza hiyo "night agent" inahusu nini utashangaa majibu ya walio wengi. Hiyo COVENANT movie tamu sana. Storyline nzuri na execution nzuri pia.
Ukitaka ngumi nyingi na risasi nyingi zisizo na ulazima angalia movie za kichina, Thailand na the likes
ile ya pili imevurugwa vyakutosha aiseeSure1 ilikuwa vizuri sana
get out ni story nzuri sana, kwa wale wazee wa kupenda vitonga vya kulelewaYoyote alizitazama hizi movie hapa, atoe recommendation niingie mzigoni.
GET OUT
TENET
SEVEN
SHOOTER
THE GREEN MILE
INSIDE MAN.
Lakini pia kama kuna movie nyingine za moto ambazo unaweza suggest unaweza kuweka. Genre ni Action, Thriller, Crime and Mystery.
Maverick inbound[emoji3][emoji3][emoji3]Naongelea movie yenyewe sio mafanikio
Mimi siamini kuwa movie ikiuza sana eti ndio nzuri. Naangalia ni muvi ipi imekonga moyo wangu.
Day Shift kuwa kali kuliko Top gun ni mtazamo wangu. Nilikuwa siongelei mauzo wala mafanikio
Not my cup of tea [emoji28][emoji28]
Iyo Tenet utulize akili tofauti na hivyo utatoka apeche alolo yaani mweupe kabisa usielewe kitu.Yoyote alizitazama hizi movie hapa, atoe recommendation niingie mzigoni.
GET OUT
TENET
SEVEN
SHOOTER
THE GREEN MILE
INSIDE MAN.
Lakini pia kama kuna movie nyingine za moto ambazo unaweza suggest unaweza kuweka. Genre ni Action, Thriller, Crime and Mystery.
Apeche alolo [emoji23][emoji23][emoji119]Iyo Tenet utulize akili tofauti na hivyo utatoka apeche alolo yaani mweupe kabisa usielewe kitu.
Iyo movie kaka nimeiangalia kama siku tatu na ni HD kabisa sio kwanza Cam version lakin nilikuja kuelewa nilivyoelezewa na mshkaji wangu, Sasa movie ya masaa 2-3 naingalia masaa 72 unafikiri kuna nini apo[emoji16]Apeche alolo [emoji23][emoji23][emoji119]
[emoji1787][emoji1787]inaonekana ni suala limeumiza watu wengi duniani. Binafsi sijawahi kuiangalia nikaimaliza.Iyo Tenet utulize akili tofauti na hivyo utatoka apeche alolo yaani mweupe kabisa usielewe kitu.
Hiyo Tenet inapaswa niishushe kutest IQ yangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Iyo movie kaka nimeiangalia kama siku tatu na ni HD kabisa sio kwanza Cam version lakin nilikuja kuelewa nilivyoelezewa na mshkaji wangu, Sasa movie ya masaa 2-3 naingalia masaa 72 unafikiri kuna nini apo[emoji16]
Mimi mpk kuja kuielewa TENET ilibidi niende YouTube nikakuta video jamaa ameielezea kwa undani ndipo nikaludi tena kuitazama nikaelewa[emoji1787][emoji1787]inaonekana ni suala limeumiza watu wengi duniani. Binafsi sijawahi kuiangalia nikaimaliza.
Maisha yalivyokuwa magumu hivi wengine tunahitaji kitu cha kufuraisha ubongo, sasa unaangalia movie lakini unajikuta unakaza fuvu ova unajiandaa na mtihani.View attachment 2656293
[emoji16][emoji16]Ukaenda kula tutorial kwa kwanzaMimi mpk kuja kuielewa TENET ilibidi niende YouTube nikakuta video jamaa ameielezea kwa undani ndipo nikaludi tena kuitazama nikaelewa