Must see Movies

Mkuu hiyo app mimi ndo nilicommend hapa jukwaani ila mimi niliweka kwa simu sikujua kama inafanya kazi kwenye TV , kwahiy process ni zilezile kama za kwenye simu ???
 
Sasa kwakuwa niliangalia extractiom 1 na muda umeenda sana ngoja niipakue hii part 1 niirudie kwanza wakati tunasubiri hao marafiki zetu wezi watufanyie wepesi
Mzigo naona upo hewani tayari, hadi Netnaija upoooo
 
Embu nipe maelezo badae nikifika home nijaribu kuinstall
Ok.kuna option mbili jinsi ya kuinstall kwa tv.ila kabla ya yote make sure umeinstall onstream apk kwenye simu yako..then ingia playstore ya smart tv yako download na install program zifuatazo
inaitwa 'send files to tv' ipo hivi na nyingine inaitwa 'FX'.kisha utadownlod tena kwenye simu yako apk ya 'send files to tv'.

Then nenda kwende smart tv yako fungua ile apk yetu ya send files to tv utaclick kwenye neno receive nenda kwenye simu yako pia fungua hiyo apk na click neno send.kule kwenye simu yako utaitafuta apk unayoitaka na kuituma kwenye tv yako.ikishaingia utafungua ile Apk ya Fx utaikuta ile apk kwenye file la download, then utaclick install na utakuwa umemaliza kazi.kila la kheri.kwa njiaa hii utaweza send file lolote lile kwenye tv yako .
 

Attachments

  • 16869062241207382277258972410995.jpg
    487.1 KB · Views: 20
  • 1686906456675499516422947332861.jpg
    456.6 KB · Views: 16
  • 16869069660893947611773307444124.jpg
    179.7 KB · Views: 15
  • 16869074441511828033739876825729.jpg
    400.4 KB · Views: 19
  • 1686907591771476745791512601434.jpg
    369.8 KB · Views: 15
Embu nipe maelezo badae nikifika home nijaribu kuinstall
Option no 2 ni kwa kutumia usb flash .unaingiza apk unayotaka kwenye flash yako the unachomeka kwa tv then utaingia kwenye SAFETY GUARD ingia 'App Manager' then utaclick hapo kwenye installation na utaiona flash yako na ukiclick flash ndani utaona apk zako.kila la kheriiiiiii.
 

Attachments

  • 16869079612266081024491306030200.jpg
    542.5 KB · Views: 20
  • 16869081708464996855526572493273.jpg
    451 KB · Views: 12
  • 16869083721787941362376626681351.jpg
    493.1 KB · Views: 19
  • 16869085280246136387925887081430.jpg
    539.3 KB · Views: 15
Mkuu hiyo app mimi ndo nilicommend hapa jukwaani ila mimi niliweka kwa simu sikujua kama inafanya kazi kwenye TV , kwahiy process ni zilezile kama za kwenye simu ???
ina version ya TV na simu

so kma unapeleka kwa TV chagua version ya tv
 
Yes ni tcl mkuu smart android
nilihisi tu tcl ndo nafikiri ndo mchina pekee anayekuwekea pure android TV kwnye hzi TV za low budget

ila wengi waliobaki wanakuwekea ile android ya simu kwnye TVs zao

ambayo kimsingi haiko well optimized na TV kwnye user interface

ndo yale unakuta TV kufungua app tu ina load mwaka mzima

trust me hao wanaotaka kutumia hyo onstream kwnye tv kma wewe

kma hawana TVs zenye android TV za kweli

nakuhakikishia hawatopata experience nzuri kama uipatayo wewe kwnye tcl.
 
Daaah mwenyewe nilikuwa sijui hii kitu..ila tcl ipo vzr sana.mtu akikosa samsung basi namshauri abebe hii kitu

Sent from my LYA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…