korokwincho
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 1,054
- 1,269
na mimi basi ndo nachopenda hicho kusikia origin audio ya movie yaani kma kikorea, kijapan n.k ila subtitle iwe English tu.Hii muvi ukiichukulia kwenye platform zenye HD itakuja kwa lugha ya kifaransa. Kuepuka hilo niliichukua netnaija ambapo ilikuja na dual audio na nili enjoy kama kawaida kama kwako swala la lugha sio tatizo unaweza kuisaka kwingine
Inception 2009 au 2010. One of the best ila inahitaji utulivu. Nilirudia mara mbili. Sikpata story vizuri. Nikaicha. Nikaja itizama tena masiki mengine nikiwa nimetulia nikaelewa. Tenet nilirudia kama mara 4 hivi ili kuelewa. Pia kuna movie ya Vannila Sky ya muda mrefu nayo Ina maudhui kama hayo ya kutumia akili n kama ukiweza angalia Sixth Sense.Inception mpaka leo inanisumbua, Tenet niliangalia mara kadhaa na kusoma sana plot ndio nikaelewa.
season 2 hyo, huko onstream mara nyingi kupata full season ngumu sanaaaaaView attachment 2696835
Wakuu hii kwa alietazama season no ngapi ni kali niichukue
Hiyo season 2 ni mwendelezo wake si ndioseason 2 hyo, huko onstream mara nyingi kupata full season ngumu sanaaaaa
ndioHiyo season 2 ni mwendelezo wake si ndio
Tumia NETNAIJA HRF TAFUTA EXTRACTION 1,2 YA 3 IPO MBION [emoji125]ok.unaweza nipatia link ya move moja kali nipoteze nayo muda ijuma ya leo
NETNAIJA au YTSsijawahi kudowload mara nyingi huwa nazipata telegram,sasa nahitaji nipate website nizichambue mwenyewe pia
Muvi yenyewe ina jina la kichawi 😮😯😯🤤🤤
Season 1 na 2 umeangqalia
Witcher story yake inaanza kwenye game lake wale waliocheza game lake ndo wanaielewa kwa urahisi kabisa , ni nzuri kama unapenda adventure maana humo ndani kuna maviumbe ya ajabu the Witcher analipwa pesa kwaajil ya kazi hiyo kuwaua hao viumbe lakin piah kumprotect binti mmoja mwenye nguvu za ajabu na anawindwa na watu , mkono upo , watu wanapigana mapanga ya kutosha
Hiyo genre naipenda, ngoja niishusheWitcher story yake inaanza kwenye game lake wale waliocheza game lake ndo wanaielewa kwa urahisi kabisa , ni nzuri kama unapenda adventure maana humo ndani kuna maviumbe ya ajabu the Witcher analipwa pesa kwaajil ya kazi hiyo kuwaua hao viumbe lakin piah kumprotect binti mmoja mwenye nguvu za ajabu na anawindwa na watu , mkono upo , watu wanapigana mapanga ya kutosha
Mimi ndo namalizia season 3
Kama umeifuata hadi season 3 basi ni nzuri hiiMimi ndo namalizia season 3
Hebu acha kurukaruka na seriz za kichawi nipe moja hapa yenye mapigano na ujasusi/upelelezi bayo haijatajwatajwa sana humu kesho nishinde nayoMimi ndo namalizia season 3
Ni nzuri na uzuri wewe hautakua na alosto kama mimi maana mimi nilianza kuifuatilia ikiwa season 1 ilivyoisha alosto ya kusubil season 2 sio mchezo , angalau wewe unakuta season 3 tayrKama umeifuata hadi season 3 basi ni nzuri hii
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app