Must see Movies

Must see Movies

Hii muvi ukiichukulia kwenye platform zenye HD itakuja kwa lugha ya kifaransa. Kuepuka hilo niliichukua netnaija ambapo ilikuja na dual audio na nili enjoy kama kawaida kama kwako swala la lugha sio tatizo unaweza kuisaka kwingine
na mimi basi ndo nachopenda hicho kusikia origin audio ya movie yaani kma kikorea, kijapan n.k ila subtitle iwe English tu.
 
Screenshot_20230723-114334.png

Wakuu hii kwa alietazama season no ngapi ni kali niichukue
 
Inception mpaka leo inanisumbua, Tenet niliangalia mara kadhaa na kusoma sana plot ndio nikaelewa.
Inception 2009 au 2010. One of the best ila inahitaji utulivu. Nilirudia mara mbili. Sikpata story vizuri. Nikaicha. Nikaja itizama tena masiki mengine nikiwa nimetulia nikaelewa. Tenet nilirudia kama mara 4 hivi ili kuelewa. Pia kuna movie ya Vannila Sky ya muda mrefu nayo Ina maudhui kama hayo ya kutumia akili n kama ukiweza angalia Sixth Sense.
 
last resort 2023 movie ikiachiwa mniambie haraka sana
 
Legend of the condor heroes- Dragon Tamer [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] actions za kibabe saana
imageghjgs%20(1).jpg
 
Ndo nataka niianze

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Witcher story yake inaanza kwenye game lake wale waliocheza game lake ndo wanaielewa kwa urahisi kabisa , ni nzuri kama unapenda adventure maana humo ndani kuna maviumbe ya ajabu the Witcher analipwa pesa kwaajil ya kazi hiyo kuwaua hao viumbe lakin piah kumprotect binti mmoja mwenye nguvu za ajabu na anawindwa na watu , mkono upo , watu wanapigana mapanga ya kutosha
 
Hiyo genre naipenda, ngoja niishushe

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom