korokwincho
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 1,054
- 1,269
na mimi basi ndo nachopenda hicho kusikia origin audio ya movie yaani kma kikorea, kijapan n.k ila subtitle iwe English tu.Hii muvi ukiichukulia kwenye platform zenye HD itakuja kwa lugha ya kifaransa. Kuepuka hilo niliichukua netnaija ambapo ilikuja na dual audio na nili enjoy kama kawaida kama kwako swala la lugha sio tatizo unaweza kuisaka kwingine