Must see Movies

Asante kwa kuifufua hii rafiki...
A monster!!!!!! siwapendagi hao majamaa jamani
 
Reactions: BAK
Asante kwa kuifufua hii rafiki...
A monster!!!!!! siwapendagi hao majamaa jamani

Nyie watu mnakosaga uondo aisee..
Nakumbuka hata AshaDii alisema hazipenda movie kama The Dark Knight Rise!

Kwa comment na review za wadau wengi wakubwa huko Hollywood, hii kitu inaonekana ni hatari sana.

Yaani imenisisimua sana, Ijumaa ntakata ticket mapema sana.
Ni mda sana nimesubiri movie ya namna hii... huwa naziita "Movie Kubwa"
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Wakuu Fixed Point na jouneGwalu mimi pia si mpenzi wa hizi monsters movies, kwa kweli sijawahi kuona hata movie moja ya monsters lakini hii safari hii baada ya kuiona trailer yake imenivutia na hivyo nitaenda kuiona kesho.


 
Last edited by a moderator:
Wakuu Fixed Point na jouneGwalu mimi pia si mpenzi wa hizi monsters movies, kwa kweli sijawahi kuona hata movie moja ya monsters lakini hii safari hii baada ya kuiona trailer yake imenivutia na hivyo nitaenda kuiona kesho.

Kaka, nakushauri kama hujaenda usiende aisee...
Ni movie mbaya sana...
Nimekuwa disappointed sana siku niliyoingia kuchek hiyo kitu,
Kwa mara ya kwanza nimesinzia theater !
Sijui nini kimetokea kwenye movie hii ila ni wazi director na team yake walipoteza focus.

Nimechukia kweli aisee
 
Reactions: BAK
rafiki wewe kaione tu, mimi hapana kwa kweli

Mhhh we ndio umeroga mpaka hii movie haijawa nzuri jamani...

Yaani Fixed Point hadi nikakukumbuka....

Ndio movie mbaya kukutana nayo cinema toka uanze mwaka huu kwangu...
BAK ungekuwa unaweka na jina la movie kwenye hizo trailer zako, mara nyingi kama hivi naku job so hapa wanafunga Youtube sites zote hivyo nakuwa sijui ni trailer gani hasa.
Ila ukiweka jina la trailer inakuwa rahisi kuchek kwa mitandao mingine.
 
Last edited by a moderator:
ha haaa, pole sana.
yaani mimi kitu kinawahusisha monsters huwa sina urafiki nacho.....
 
Hilo la kushuka katika ratings ni kweli lakini nahisi hii inaweza kabisa kuingiza hadi $500 million kabla ya mwisho wa mwezi ujao. Na bajeti yao ni $160 million

Dah na mimi ndo nshawachangia hahahaha....
 
Reactions: BAK
Hahahah pole mkuu! Movie za namna hii mie hunipati hata kwa vipi!
 
game of thrones ndo inareign supreme kwa sasa ipo season 4
 
Hey guys natafuta group inayozungumzia mambo ya muvi na series, my whatsapp # is +255762243055
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…