Niliko Theater fully booked itabidi nisubiri kama wiki ipite au mbili, uvumilivu sasa, asante sana
BAK nimefanikiwa kuiona, I agree mwishoni inasikitisha sana hasa pale Paul anapoishia barabara nyingine...kweli Lord teach us to number our days.
Hii movie ni nzuri sana nitaitafuta niirudie ngoja izoeleke iwepo madukani na wametumia lugha nzuri niliangalia Focus eish matumizi ya lugha pale yamepitiliza, waliniboa kiasi ila nayo nzuri."Life is Binary" Nathalie
....Ile barabara labda ni ya kwenda peponi kutokana na matendo yake hapa duniani inaelekea alikuwa mtu poa sana kutokana na wenzake wanavyomzunguzia na jinsi walivyompenda. Sehemu kubwa ya movie alikuwa ni mdogo wake ambaye wamefanana sana.
Hivi hii movie part II yake inatoka lini?The maze runner ni fantastic
inatoka 13 SEP 2015Hivi hii movie part II yake inatoka lini?
Mkuu <b><a rel="nofollow" href="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=1397" target="_blank">BAK</a></b>, kuna hii imetoka jana, ulienda kui-check?.
[video]https://youtu.be/RFinNxS5KN4[/video]