Must see Movies

Must see Movies

Hata mimi hiyo adha ya theater kuwa fully booked ilinikuta kitu ambacho si cha kawaida. Mie hupenda kuingia movie saa mbili usiku au saa nne za usiku lakini time zote hizi siku mbili kabla ya movie kuanza kuonyeshwa zilikuwa zimejaa hivyo ikabidi niingie ya saa 10 jioni nayo pia ilikuwa imesheheni kwa watu. Jamaa watatengeneza pesa nzuri sana.

Niliko Theater fully booked itabidi nisubiri kama wiki ipite au mbili, uvumilivu sasa, asante sana
 
150401110753-fast-and-furious-7-780x439.png


The seventh installment of the "Fast and the Furious" series, "Furious 7," is beating even the most optimistic projections for its opening weekend at the box office.

Analysts are now saying it could make $150 million throughout North America by Sunday night.

A week ago, they were predicting $115 to $125 million for this weekend -- and even those projections were turning heads in Hollywood.
Then, after seeing some of Friday's results, the projections nudged up to $130 to $140 million.
On Saturday morning, expectations soared even higher, thanks to sellout crowds at some theaters on Friday night. $148 to $150 million now looks likely.
The film is having the biggest opening of 2015 to date, easily overtaking February's $85 million opening of "Fifty Shades of Grey."
It's also driving right past last year's $95 million opening of "Captain America: The Winter Soldier" -- which was, until now, April's biggest opening in movie history.
"Furious 7," starring Vin Diesel and Dwayne "The Rock" Johnson, marks the unofficial start of the summer movie season.
The film franchise has been hugely popular for over a decade. Its loyal following has helped it make $2.4 billion worldwide since 2001.
This time around, there's even more interest, partly because the seventh film is the last to include the actor Paul Walker.
Walker died in a 2013 car crash while the film production was still taking place.
Related: Buckle up: 'Furious 7' will be emotional for Paul Walker fans
The film is being released by Universal, a division of NBCUniversal.
Coincidentally, February's "Fifty Shades of Grey" was also a Universal picture.
Industry estimates indicate that "Furious 7" made about $16 million during special Thursday night showings.
By Friday night, it had made more than $67 million, which was even higher than originally expected.
Universal will wait to publicly celebrate until sometime Saturday or Sunday.
No matter what the final total for opening weekend, it's clear that "Furious 7" will become the biggest opening in "Fast" series history, passing the $97.3 million "Fast & Furious 6" launch in May 2013.
It will also set the template for what Hollywood hopes will be a hot season after last year's dismal U.S. summer box office.


 
BAK nimefanikiwa kuiona, I agree mwishoni inasikitisha sana hasa pale Paul anapoishia barabara nyingine...kweli Lord teach us to number our days.
Hii movie ni nzuri sana nitaitafuta niirudie ngoja izoeleke iwepo madukani na wametumia lugha nzuri niliangalia Focus eish matumizi ya lugha pale yamepitiliza, waliniboa kiasi ila nayo nzuri.
"Life is Binary" Nathalie​
 
  • Thanks
Reactions: BAK
....Ile barabara labda ni ya kwenda peponi kutokana na matendo yake hapa duniani inaelekea alikuwa mtu poa sana kutokana na wenzake wanavyomzunguzia na jinsi walivyompenda. Sehemu kubwa ya movie alikuwa ni mdogo wake ambaye wamefanana sana.

BAK nimefanikiwa kuiona, I agree mwishoni inasikitisha sana hasa pale Paul anapoishia barabara nyingine...kweli Lord teach us to number our days.
Hii movie ni nzuri sana nitaitafuta niirudie ngoja izoeleke iwepo madukani na wametumia lugha nzuri niliangalia Focus eish matumizi ya lugha pale yamepitiliza, waliniboa kiasi ila nayo nzuri.
"Life is Binary" Nathalie​
 
Ni kweli wamefanana sana ila kwa mtu unayemfahamu unaweza watofautisha

....Ile barabara labda ni ya kwenda peponi kutokana na matendo yake hapa duniani inaelekea alikuwa mtu poa sana kutokana na wenzake wanavyomzunguzia na jinsi walivyompenda. Sehemu kubwa ya movie alikuwa ni mdogo wake ambaye wamefanana sana.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mkuu <b><a href="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=1397" target="_blank">BAK</a></b>, kuna hii imetoka jana, ulienda kui-check?.

[video]https://youtu.be/RFinNxS5KN4[/video]
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hapana Mkuu sijaiona, nafasi ikiruhusu nitaiona weekend ijayo.

Mkuu <b><a rel="nofollow" href="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=1397" target="_blank">BAK</a></b>, kuna hii imetoka jana, ulienda kui-check?.

[video]https://youtu.be/RFinNxS5KN4[/video]
 
Back
Top Bottom