BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
- Thread starter
- #741
Hata mimi hiyo adha ya theater kuwa fully booked ilinikuta kitu ambacho si cha kawaida. Mie hupenda kuingia movie saa mbili usiku au saa nne za usiku lakini time zote hizi siku mbili kabla ya movie kuanza kuonyeshwa zilikuwa zimejaa hivyo ikabidi niingie ya saa 10 jioni nayo pia ilikuwa imesheheni kwa watu. Jamaa watatengeneza pesa nzuri sana.
Niliko Theater fully booked itabidi nisubiri kama wiki ipite au mbili, uvumilivu sasa, asante sana