Must see Movies



Hii filamu imetengenezwa kutoka kwenye vitabu vya Phillip Pullman, His Dark Materials ambavyo vilipigwa marufuku kwasababu vilikuwa vinakashifu dini ya Ukristo. Kinachonifurahisha kuhusu hii filamu/tamthilia ni maudhui yake tu: Ukifuatilia kwa undani Pullman anasifia kile ambacho kilitokea barani Ulaya miaka ya 1776-1848, (Age of Enlightenment) ambapo wasomi walianza kupambana na nguvu ya Kanisa Katoliki pamoja na wafalme wa Ulaya.

Kikibwa zaidi hii tamthilia inasifia kabisa matendo ya The Illuminati (The Enlightened Intellectuals), ambao walikula kiapo kupambana na Kanisa Pamoja na Mungu wao. Humu ndani The Illuminati wanawakilishwa na mwanasayansi Lord Asriel ambaye anashirikiana na malaika walioanguka (The Fallen Angels), kupambana na Kanisa Katoliki (The Magesterium) likimuwakilisha mungu wao (The Authority).

Hii filamu/tamthilia imetengenezwa kikawaida, lakini kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa kinachoendelea duniani utagundua kabisa ujumbe mbaya ambao hii filamu inausambaza. Mle ndani kumejaa mambo ya ajabu sana ya kiimani na kisiasa, ambayo yamekuwa yakiendelea. Ukiangalia vizuri kuna Secret Societies kibao mle ndani na alama zake,.....


Pullman (The Author) himself confessed that the aim of the books and series is to undermine christian beliefs and send a message to the Catholic Church. It's just intense, perverted and rebellious,......

Kama una roho nyepesi usiangalie kabisa wala usisome vitabu vyake,.......
 

Ntaangalia kama iko hivyo kuna mdau wangu aliirecommend niiangalie sikupataga kuifuatilia... kama uweiweka kundi moja na hizo basi ni hatari , naona hata Trailer YouTube comment section wameisifia sana.
 
Reactions: Lee

Part 2 ipo njiani
 
Hii movie ni remaking tuu haina maajabu yeyote, bac tuu cast imejaa mastaa wengi ila ni remaking ya DUNE(1984) ya David lynch ambayo ilikuwa Kali mno, hii ya mwaka huu ameitengeneza Denis Villeneuve, kumbuka sio Mara yake ya kwanza kufanya remaking ya classic blockbusters, mfano "blade runner" classic blockbuster ya miaka ya 80s aliotengeneza sir. Ridley Scott ilifanyiwa remaking na huyuhuyu Denis Villeneuve mwaka 2017 akaiita "blade runner 2049"
 
Sema Huyo Denis Villeneuve usimchukulie poa, kuna movie yake ya 2013 inaitwa "prisoners" ni Kali sana, kuanzia story, the acting, the cinematography
Cast;Hugh Jackman ,Jake gyllenhall, Paul dano, Terrence Howard na viola Davis
 
Reactions: Lee
Blade-Runner 2049 siyo REMAKE ni SEQUEL.....
And DUNE 2021 is a Graphical Masterpiece kuliko DUNE 1984 iliyoiga vitu kwa Star-Wars V na Star-Trek......
 
DUNE 2021 is a Graphical Masterpiece kuliko DUNE 1984
Nonsense, huwez kufananisha graphics za movie ya 80s na ya 2021, hujui technology inazidi kukua kila siku?? kwani ubora wa camera na film za wakati ule na sasa zipo sawa??
 
Blade Runner 2049 ya Gosling mimi sikuikubaligi kabisa... mtazamo wang
Hukuikubali kwa upande upi?? Je story mbaya?? Graphics mbaya?? Acting mbaya?? Director hajui?? Cinematographer kazingua?? Which is which??
 
Nonsense, huwez kufananisha graphics za movie ya 80s na ya 2021, hujui technology inazidi kukua kila siku?? kwani ubora wa camera na film za wakati ule na sasa zipo sawa??
DUNE 2021 is a Graphical Masterpiece,
Sasa kama unadhani neno Graphical ni ubora wa kamera tu, nakutakia kila la kheri........
 
DUNE 1984 iliyoiga vitu kwa Star-Wars V na Star-Trek......
Alaf iko hivi Hamna jipya chini ya jua, the fathers of science fiction (sci-fi) movies ni Jules Verne na H.G.wells, hata hao wakina George Lucas(star wars) na Gene Roddenberry (star trek) hata nao kuna vitu wamecopy kwa hao waliowatangulia na kuongezea kidogo concept zingine ndo tukapata hayo ma star wars na ma star trek na ma Dune

-Mkuu unajua sana movie, Hongera!!!
 
DUNE 2021 is a Graphical Masterpiece,
Sasa kama unadhani neno Graphical ni ubora wa kamera tu, nakutakia kila la kheri........
First of all mm sijapinga kwamba Dune 2021 ni graphical masterpiece kama ww unavoiita, ila ambacho hujanielewa ni kwamba ww unajaribu kufananisha graphics za dune 1984 na dune 2021 wakati zimetoka in two different eras/ages

-Alaf nakusihi bora utumie neno "visual masterpiece" au "visual effects" kuliko neno "graphical masterpiece" unapoongelea maswala ya movie, hilo neno graphical Lina maana mbili, ya kwanza "relating to or in the form of a graph" ya Pili ni "relating to visual art or computer graphics" kwaio unamchanganya mtu bora utumie neno lisilo na maana mbilimbili


Sasa kama unadhani neno Graphical ni ubora wa kamera tu
-kumbuka kaka movie sio game, game haijawa recorded lakini kuna baadhi ya vitu(actions) wanavirekodi kwa hawa stunts kwa sababu kadhaa/flani ila mm sijajikita huko
-ila movie kabla haijaenda Ku editiwa na kiongezewa hayo ma visual effects lazima kila scene iwe recorded, au naongopa?? Sasa unaendaje kuedit vizuri kitu kilicho rekodiwa na camera low quality, ndo maana kila siku wenzetu wazungu wanaboresha ubora wa camera zao because its a primary and important thing kabla movie haijaingizwa kweny computer, sasa ww unadharau ubora wa camera??


nakutakia kila la kheri........
-Mm nilitaka tueleweshane na nijifunze baadhi ya vitu kutoka kwako, ila kwa majibu yako inaonekana ur not interested
 
First of all mm sijapinga kwamba Dune 2021 ni graphical masterpiece kama ww unavoiita, ila ambacho hujanielewa ni kwamba ww unajaribu kufananisha graphics za dune 1984 na dune 2021 wakati zimetoka in two different eras/ages
Sasa kwanini usema kwamba DUNE haina maajabu wakati hapa unakubali kwamba ni Graphical Masterpiece ??
Sasa kama unafahamu fika kwamba neno "Graphical" lina Denotative na Connotative Meanings kwanini ukimbilie kutafasiri kwamba mimi nazungumzia ubora wa kamera peke yake tu ???
Usilazimishe kitu ambacho sijakisema mkuu. Hivi leo nikisema kwamba Mad-Max:Fury Road ni Graphical Masterpiece kuliko Mad-Max 1982, basi kichwani kwako unadhani ntakuwa nazungumzia ubora wa kamera peke yake tu ??? Mbona filamu kama Terminator 2: Judgement Day ya mwaka 1991 ni Graphical Masterpiece kuliko hata Terminator😀ark Fate ya mwaka 2019. (Hapa utasema nafananisha ubora wa kamera tu ???)
-Mm nilitaka tueleweshane na nijifunze baadhi ya vitu kutoka kwako, ila kwa majibu yako inaonekana ur not interested
Mazee, sisi wote hapa ni mashabiki tu, binafsi sina utaalamu wowote ule wa filamu na sina cha kukufundisha wewe.
Nipo humu kuburudika tu, hivyo huu mjadala tuupotezee tu,...

Shukrani sana Mkuu,.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…