Must see Movies

Must see Movies

His Dark Materials.jpg

Hii filamu imetengenezwa kutoka kwenye vitabu vya Phillip Pullman, His Dark Materials ambavyo vilipigwa marufuku kwasababu vilikuwa vinakashifu dini ya Ukristo. Kinachonifurahisha kuhusu hii filamu/tamthilia ni maudhui yake tu: Ukifuatilia kwa undani Pullman anasifia kile ambacho kilitokea barani Ulaya miaka ya 1776-1848, (Age of Enlightenment) ambapo wasomi walianza kupambana na nguvu ya Kanisa Katoliki pamoja na wafalme wa Ulaya.

Kikibwa zaidi hii tamthilia inasifia kabisa matendo ya The Illuminati (The Enlightened Intellectuals), ambao walikula kiapo kupambana na Kanisa Pamoja na Mungu wao. Humu ndani The Illuminati wanawakilishwa na mwanasayansi Lord Asriel ambaye anashirikiana na malaika walioanguka (The Fallen Angels), kupambana na Kanisa Katoliki (The Magesterium) likimuwakilisha mungu wao (The Authority).

Hii filamu/tamthilia imetengenezwa kikawaida, lakini kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa kinachoendelea duniani utagundua kabisa ujumbe mbaya ambao hii filamu inausambaza. Mle ndani kumejaa mambo ya ajabu sana ya kiimani na kisiasa, ambayo yamekuwa yakiendelea. Ukiangalia vizuri kuna Secret Societies kibao mle ndani na alama zake,.....

Pullman (The Author) himself confessed that the aim of the books and series is to undermine christian beliefs and send a message to the Catholic Church. It's just intense, perverted and rebellious,......

Kama una roho nyepesi usiangalie kabisa wala usisome vitabu vyake,.......
 
View attachment 1985064

By Far this is a masterpiece, naiweka hii filamu kundi moja na hizi filamu/tamthilia ;
  • His Dark Materials
  • Game of Thrones
  • The God Father
  • Inception
  • Avatar
  • Terminator I & II

Tena nachelea kusema hii filamu ni bora zaidi, kwasababu mambo yanayofanyika humu ni uhalisia wa siasa za dunia, hasa kuanzia karne kuanzia karne ya 15 hadi 19. Yaani imegusa kila kitu: Politics of money and power, struggle for natural resources, imperialism and colonialism, death and tragedy, supernatural forces surrounding authority, social beliefs and cultural diversity. It's just intense, na mpaka uielewe unahitaji utulie.

Kiufipi iko kama The Game of Thrones, hakuna kundi zuri wala kundi baya: Ila kuna familia tajiri (The Landsraad) ambazo zina nguvu na ushawishi mkubwa huku zikishindana zenyewe kwa zenyewe, au dhidi ya mfalme (The Imperium) ambaye naye anatoka kwenye moja ya familia tajiri na yenye nguvu. Chuki, wivu, husuda na umwagaji damu ndiyo kinachoendelea humu.

Ukija kwenye the acting, costume designs, soundtracks, scripts na choreography unabaki tu mdomo wazi. Yaani walioitengeneza wamefanya kazi ya ziada ndiyo maana ratings zake (In Rotten Tomatoes) hii filamu ni kubwa sana: Ni 8.3 kama sikosei. Nataka nitafute novel zake nianze kusoma ili nielewe zaidi,...

NB: Mara ya kwanza kuangalia hii filamu nikashangaa kuona kuna mfanano usio wa kawaida baina ya The Order of Bene Gesserit Sisters na The Order of the Jesuit Brothers. Modus Operandi zao zinafanana kwenye mambo mengi mno.....

Ntaangalia kama iko hivyo kuna mdau wangu aliirecommend niiangalie sikupataga kuifuatilia... kama uweiweka kundi moja na hizo basi ni hatari , naona hata Trailer YouTube comment section wameisifia sana.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
View attachment 1985064

By Far this is a masterpiece, naiweka hii filamu kundi moja na hizi filamu/tamthilia ;
  • His Dark Materials
  • Game of Thrones
  • The God Father
  • Inception
  • Avatar
  • Terminator I & II

Tena nachelea kusema hii filamu ni bora zaidi, kwasababu mambo yanayofanyika humu ni uhalisia wa siasa za dunia, hasa kuanzia karne kuanzia karne ya 15 hadi 19. Yaani imegusa kila kitu: Politics of money and power, struggle for natural resources, imperialism and colonialism, death and tragedy, supernatural forces surrounding authority, social beliefs and cultural diversity. It's just intense, na mpaka uielewe unahitaji utulie.

Kiufipi iko kama The Game of Thrones, hakuna kundi zuri wala kundi baya: Ila kuna familia tajiri (The Landsraad) ambazo zina nguvu na ushawishi mkubwa huku zikishindana zenyewe kwa zenyewe, au dhidi ya mfalme (The Imperium) ambaye naye anatoka kwenye moja ya familia tajiri na yenye nguvu. Chuki, wivu, husuda na umwagaji damu ndiyo kinachoendelea humu.

Ukija kwenye the acting, costume designs, soundtracks, scripts na choreography unabaki tu mdomo wazi. Yaani walioitengeneza wamefanya kazi ya ziada ndiyo maana ratings zake (In Rotten Tomatoes) hii filamu ni kubwa sana: Ni 8.3 kama sikosei. Nataka nitafute novel zake nianze kusoma ili nielewe zaidi,...

NB: Mara ya kwanza kuangalia hii filamu nikashangaa kuona kuna mfanano usio wa kawaida baina ya The Order of Bene Gesserit Sisters na The Order of the Jesuit Brothers. Modus Operandi zao zinafanana kwenye mambo mengi mno.....

Part 2 ipo njiani
 
Hii movie ni remaking tuu haina maajabu yeyote, bac tuu cast imejaa mastaa wengi ila ni remaking ya DUNE(1984) ya David lynch ambayo ilikuwa Kali mno, hii ya mwaka huu ameitengeneza Denis Villeneuve, kumbuka sio Mara yake ya kwanza kufanya remaking ya classic blockbusters, mfano "blade runner" classic blockbuster ya miaka ya 80s aliotengeneza sir. Ridley Scott ilifanyiwa remaking na huyuhuyu Denis Villeneuve mwaka 2017 akaiita "blade runner 2049"
 
Sema Huyo Denis Villeneuve usimchukulie poa, kuna movie yake ya 2013 inaitwa "prisoners" ni Kali sana, kuanzia story, the acting, the cinematography
Cast;Hugh Jackman ,Jake gyllenhall, Paul dano, Terrence Howard na viola Davis
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Hii movie ni remaking tuu haina maajabu yeyote, bac tuu cast imejaa mastaa wengi ila ni remaking ya DUNE(1984) ya David lynch ambayo ilikuwa Kali mno, hii ya mwaka huu ameitengeneza Denis Villeneuve, kumbuka sio Mara yake ya kwanza kufanya remaking ya classic blockbusters, mfano "blade runner" classic blockbuster ya miaka ya 80s aliotengeneza sir. Ridley Scott ilifanyiwa remaking na huyuhuyu Denis Villeneuve mwaka 2017 akaiita "blade runner 2049"
Blade-Runner 2049 siyo REMAKE ni SEQUEL.....
And DUNE 2021 is a Graphical Masterpiece kuliko DUNE 1984 iliyoiga vitu kwa Star-Wars V na Star-Trek......
 
DUNE 2021 is a Graphical Masterpiece kuliko DUNE 1984
Nonsense, huwez kufananisha graphics za movie ya 80s na ya 2021, hujui technology inazidi kukua kila siku?? kwani ubora wa camera na film za wakati ule na sasa zipo sawa??
 
DUNE 2021 is a Graphical Masterpiece,
Sasa kama unadhani neno Graphical ni ubora wa kamera tu, nakutakia kila la kheri........
 
DUNE 1984 iliyoiga vitu kwa Star-Wars V na Star-Trek......
Alaf iko hivi Hamna jipya chini ya jua, the fathers of science fiction (sci-fi) movies ni Jules Verne na H.G.wells, hata hao wakina George Lucas(star wars) na Gene Roddenberry (star trek) hata nao kuna vitu wamecopy kwa hao waliowatangulia na kuongezea kidogo concept zingine ndo tukapata hayo ma star wars na ma star trek na ma Dune

-Mkuu unajua sana movie, Hongera!!!
 
DUNE 2021 is a Graphical Masterpiece,
Sasa kama unadhani neno Graphical ni ubora wa kamera tu, nakutakia kila la kheri........
First of all mm sijapinga kwamba Dune 2021 ni graphical masterpiece kama ww unavoiita, ila ambacho hujanielewa ni kwamba ww unajaribu kufananisha graphics za dune 1984 na dune 2021 wakati zimetoka in two different eras/ages

-Alaf nakusihi bora utumie neno "visual masterpiece" au "visual effects" kuliko neno "graphical masterpiece" unapoongelea maswala ya movie, hilo neno graphical Lina maana mbili, ya kwanza "relating to or in the form of a graph" ya Pili ni "relating to visual art or computer graphics" kwaio unamchanganya mtu bora utumie neno lisilo na maana mbilimbili

Sasa kama unadhani neno Graphical ni ubora wa kamera tu
-kumbuka kaka movie sio game, game haijawa recorded lakini kuna baadhi ya vitu(actions) wanavirekodi kwa hawa stunts kwa sababu kadhaa/flani ila mm sijajikita huko
-ila movie kabla haijaenda Ku editiwa na kiongezewa hayo ma visual effects lazima kila scene iwe recorded, au naongopa?? Sasa unaendaje kuedit vizuri kitu kilicho rekodiwa na camera low quality, ndo maana kila siku wenzetu wazungu wanaboresha ubora wa camera zao because its a primary and important thing kabla movie haijaingizwa kweny computer, sasa ww unadharau ubora wa camera??

nakutakia kila la kheri........
-Mm nilitaka tueleweshane na nijifunze baadhi ya vitu kutoka kwako, ila kwa majibu yako inaonekana ur not interested
 
First of all mm sijapinga kwamba Dune 2021 ni graphical masterpiece kama ww unavoiita, ila ambacho hujanielewa ni kwamba ww unajaribu kufananisha graphics za dune 1984 na dune 2021 wakati zimetoka in two different eras/ages
Sasa kwanini usema kwamba DUNE haina maajabu wakati hapa unakubali kwamba ni Graphical Masterpiece ??
-Alaf nakusihi bora utumie neno "visual masterpiece" au "visual effects" kuliko neno "graphical masterpiece" unapoongelea maswala ya movie, hilo neno graphical Lina maana mbili, ya kwanza "relating to or in the form of a graph" ya Pili ni "relating to visual art or computer graphics" kwaio unamchanganya mtu bora utumie neno lisilo na maana mbilimbili
Sasa kama unafahamu fika kwamba neno "Graphical" lina Denotative na Connotative Meanings kwanini ukimbilie kutafasiri kwamba mimi nazungumzia ubora wa kamera peke yake tu ???
-ila movie kabla haijaenda Ku editiwa na kiongezewa hayo ma visual effects lazima kila scene iwe recorded, au naongopa?? Sasa unaendaje kuedit vizuri kitu kilicho rekodiwa na camera low quality, ndo maana kila siku wenzetu wazungu wanaboresha ubora wa camera zao because its a primary and important thing kabla movie haijaingizwa kweny computer, sasa ww unadharau ubora wa camera??
Usilazimishe kitu ambacho sijakisema mkuu. Hivi leo nikisema kwamba Mad-Max:Fury Road ni Graphical Masterpiece kuliko Mad-Max 1982, basi kichwani kwako unadhani ntakuwa nazungumzia ubora wa kamera peke yake tu ??? Mbona filamu kama Terminator 2: Judgement Day ya mwaka 1991 ni Graphical Masterpiece kuliko hata Terminator😀ark Fate ya mwaka 2019. (Hapa utasema nafananisha ubora wa kamera tu ???)
-Mm nilitaka tueleweshane na nijifunze baadhi ya vitu kutoka kwako, ila kwa majibu yako inaonekana ur not interested
Mazee, sisi wote hapa ni mashabiki tu, binafsi sina utaalamu wowote ule wa filamu na sina cha kukufundisha wewe.
Nipo humu kuburudika tu, hivyo huu mjadala tuupotezee tu,...

Shukrani sana Mkuu,.......
 
Back
Top Bottom