Suicide squad ya 2016 ni matapishi kwa upande wangu, David ayer alizingua kweny ile movie kwa mawazo yangu, movie alioipatia maybe "Fury" ya 2014...ila James Gunns' Suicide squad(2021) mm nimeiona nzuri kwa upande wangu, maana yule jamaa ni fundi aisee, tena saaaana....jamaa ndio alie direct na akaandika screen plays za Guardians of the galaxy zote mbili, kwaio nilijua tuu hawez kuzingua kweny suicide squad 2Sema sijasema kuwa ni actor mbaya hamna ila... will smith alibadilisha muonekano pia... Suicide Squad ikawa mbovu anyway japo performance yake ilikuwa nzuri
Suicide squad ya 2016 ni matapishi kwa upande wangu, David ayer alizingua kweny ile movie kwa mawazo yangu, movie alioipatia maybe "Fury" ya 2014...ila James Gunns' Suicide squad(2021) mm nimeiona nzuri kwa upande wangu, maana yule jamaa ni fundi aisee, tena saaaana....jamaa ndio alie direct na akaandika screen plays za Guardians of the galaxy zote mbili, kwaio nilijua tuu hawez kuzingua kweny suicide squad 2
Site gani hii unatumia kuangalia na kudownload movie bibieNapenda horror na thriller View attachment 1976759
NetflixSite gani hii unatumia kuangalia na kudownload movie bibie
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Bhasi kweli binadamu tupo tofauti... Ile ya 2016 me naona ndo balaa aisee hii ya sasa hivi hata sio habari utopolo tu kama Fast amd Furious mpya[emoji3]Suicide squad ya 2016 ni matapishi kwa upande wangu, David ayer alizingua kweny ile movie kwa mawazo yangu, movie alioipatia maybe "Fury" ya 2014...ila James Gunns' Suicide squad(2021) mm nimeiona nzuri kwa upande wangu, maana yule jamaa ni fundi aisee, tena saaaana....jamaa ndio alie direct na akaandika screen plays za Guardians of the galaxy zote mbili, kwaio nilijua tuu hawez kuzingua kweny suicide squad 2
Nimemaliza kuicheki Shang Chi naona Bruce kamkaribisha jamaa kwenye mcu rasmii[emoji848][emoji848]
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Kamanda Unaweza kunitajia jina la Movie Hii muuaji anaua wanawake wenye nywele ndefuShang-chi umeona mwiba ule ndugu yang?
Kamanda Unaweza kunitajia jina la Movie Hii muuaji anaua wanawake wenye nywele ndefu
Sawa mkuuSiipati sema ntakuhuridhia kwa wadau kama hakutokua na mtu atakaekutajia humu
Kuna tetesi nmezisikia kwamba the next James bond will be TOM HARDY, Vp nyie mnaonaje, itapendeza au??No time to die...must to watch View attachment 2006180
Upheld brother πππBhasi kweli binadamu tupo tofauti... Ile ya 2016 me naona ndo balaa aisee hii ya sasa hivi hata sio habari utopolo tu kama Fast amd Furious mpya[emoji3]
Upheld brother [emoji122][emoji122][emoji122]
Nakubaliana na ww kweny fast and furious ila kweny suicide squad nakataa kabisa tutabishana Hadi kesho[emoji28][emoji28][emoji28]
Rikiboy, huwez ukawa serious kwamba suicide squad ya 2016 ni nzuri kuliko ya mwaka huu mzee, oyaa nyie vp[emoji28][emoji28][emoji28] MNAZINGUA KIMSINGI....
Nakosa Hadi maneno ya kuongea bhana[emoji28][emoji28][emoji28]
Ile ya 2016 imekaa kitoto sana Kwa upande wangu, yaan kiufupi ni jau
Hahah ule kweli mwiba mkuu..Shang-chi umeona mwiba ule ndugu yang?
Nimeona anatajwa Tom ,Idris na HollandKuna tetesi nmezisikia kwamba the next James bond will be TOM HARDY, Vp nyie mnaonaje, itapendeza au??