Bongo Trust
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 253
- 247
Nisamehe kama nimekukwaza brother, haikua lengo langu kukukwaza bali hatufanani katika hali za maisha na utafutaji wa riziki.Acha urafi wa Pesa umeshindwa kutoa Bure mpaka ulipishe watu [emoji848]?..? Kwanza istoshe wewe mwenyewe umeipata Bure sasa hiyo tamaa yakulipisha watu unatolea wapi mKuu
Mungu akubariki
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]