Must see Movies

Must see Movies

Acha urafi wa Pesa umeshindwa kutoa Bure mpaka ulipishe watu [emoji848]?..? Kwanza istoshe wewe mwenyewe umeipata Bure sasa hiyo tamaa yakulipisha watu unatolea wapi mKuu
Nisamehe kama nimekukwaza brother, haikua lengo langu kukukwaza bali hatufanani katika hali za maisha na utafutaji wa riziki.

Mungu akubariki

[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Nisamehe kama nimekukwaza brother, haikua lengo langu kukukwaza bali hatufanani katika hali za maisha na utafutaji wa riziki.

Mungu akubariki

[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji23] AMINA [emoji120]
 
Sio Muziki tu Snoop Dog ametisha sana humuuu
IMG_20220817_225121_014.jpg
 
Hii kitu ya nyuma kidogo ila ni kati movies zangu bora za vita vya kale. David vs Goliath kinda vibe.

Waliowahi kuitazama mnaipa ngapi hii muvi.
Screenshot_20220903-201451.jpg
 
Ni ya kawaida Sana computer imetumika Sana story yake pia haina mvuto ukiicheki trailer lake Unaweza kudhani bonge la movie ukiangalia kabisa full unaona uhalisia ni overrated Sana si Bora uicheki ya mwanangu donnie yen inaitwa Ranging fire
Nipo naangalia Carter hapa kwanza ipo overrated, uongo uongo aisee sio poa jamaa jinsi anapigana na wale ma agents kwenye zile minivans tatu na kwa wale wa mapikipiki yani hakuna uhalisia plus camera haijatulia mara inabinuka hivi mara vile, mara ipinde hivi, unajikuta unatamani hata uinamishe tv ili uone vizuri na hapa ndio waliponichosha mpaka zile action zinaisha nmehisi kizunguzungu
 
Back
Top Bottom