witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Hii ninayo mkuu thanksThe Reef: Stalked (2022)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ninayo mkuu thanksThe Reef: Stalked (2022)
Mkuu mbona kila movie unaponda?[emoji38][emoji38][emoji38]Humu pia Brad Pitt kazingua sana. Sio level zake hii movie
Asante sana... Hii sina kali eeh?The Requin (2022)
Wewe unajua muvi. Ongezea na bullet train na a spy who never dies wkend yako iwe saaafiMovie ya kawaida sana ila imekuwa hyped sana hasa na uwepo wa Dwayne ila haijanishawishi hata kuirudia ukilinganisha na Uncharted au Red Notice
Yah kali sana.Asante sana... Hii sina kali eeh?
Ukiona mtu anaponda movie flan ujue anajua sana au kashatizama movie nyingi so akikompare alizotazama na hiyo anaona kaibiwa muda wake tu...Mkuu mbona kila movie unaponda?[emoji38][emoji38][emoji38]
ila hii ya kikuda sana effect za kishamba kabisa kama movie za majoka za kichina [emoji23].The Requin (2022)
[emoji16][emoji16]daah... Kuna 47 meters down(2017), The Meg, The shallows, Jaws, Rogue, Black water, Croc, Salt water etcNaombeni movie za watu kuliwa na papa au mamba current
Hii movie Gerard Butler walimuingiza cha kike. Watauza sababu ya jamaa tu kuwa mule!One of the ever boring movie from Buttler [emoji57][emoji57][emoji57]
Labda ni kwasabab ina comedy ndani yake, binafsi kwa upande wangu sio mbaya sana[emoji16]Humu pia Brad Pitt kazingua sana. Sio level zake hii movie
Hata mimi aisee naona Red Notice ni nzuri kuliko hii. Labda uwe fan wa super power movies.Movie ya kawaida sana ila imekuwa hyped sana hasa na uwepo wa Dwayne ila haijanishawishi hata kuirudia ukilinganisha na Uncharted au Red Notice
Wale waliokuwa wanashindanisha Money heist na PB nilikuwa nawashangaa sana[emoji16][emoji16][emoji16]Ukiona mtu anaponda movie flan ujue anajua sana au kashatizama movie nyingi so akikompare alizotazama na hiyo anaona kaibiwa muda wake tu...
Kwa mafano nikikuta unaisifia money heist najua hujui movie.
Hii kitu ndio imefanya niache kuangalia hizo movies, unakuta effects za uongo kabisa yani kama katuni. Niliona moja ya mapapa ila jina nimeisahau, yaani wale sharks kama wamchongo jinsi wanavyo move kwenye maji uongo mtupu.ila hii ya kikuda sana effect za kishamba kabisa kama movie za majoka za kichina [emoji23].
[emoji3][emoji3][emoji3]ila hii ya kikuda sana effect za kishamba kabisa kama movie za majoka za kichina [emoji23].
Asante sana mkuu ..the Meg peke ake hapo ndo siijui[emoji16][emoji16]daah... Kuna 47 meters down(2017), The Meg, The shallows, Jaws, Rogue, Black water, Croc, Salt water etc
Jamaa wife wake analiwa na best wake[emoji28]Kuna hii inaitwa Fatale kacheza Michael ealy aisee haiboi haichoshi[emoji4]
nikama movies za channel ya Azam "kix" kuna movie ya mamba na Papa Baba [emoji23] effects zake za kishamba unaweza lia pia kuna trailer nyingine wanaonyeshaga hapo hapo "kix" ety Zoo inashambuliwa na wanyama baada ya kuambukizwa virusi flani mpaka ngedere kawa zombie kuna mamba anampiga mtama mdada mmoja hivi asee sitaki kuendelea kama nitaipata nitaleta trailer yake uone madudu[emoji23][emoji23][emoji23]Hii kitu ndio imefanya niache kuangalia hizo movies, unakuta effects za uongo kabisa yani kama katuni. Niliona moja ya mapapa ila jina nimeisahau, yaani wale sharks kama wamchongo jinsi wanavyo move kwenye maji uongo mtupu.
Sharks wanakimbia kama wapo fast forwaded effects hazimake sense kabisa. Yani unakuta shark anakuja nduki wame mfast foward ndani ya meter chache mtu anaogelea anaenda anamuokoa victim wanarudi nchi kavu yaani hakuna uhalisia kabisa!!
[emoji16][emoji16]acha tu, unaangalia movie mpaka unajiuliza hivi hawa jamaa wanafikiri mimi ni mtoto au?!nikama movies za channel ya Azam "kix" kuna movie ya mamba na Papa Baba [emoji23] effects zake za kishamba unaweza lia pia kuna trailer nyingine wanaonyeshaga hapo hapo "kix" ety Zoo inashambuliwa na wanyama baada ya kuambukizwa virusi flani mpaka ngedere kawa zombie kuna mamba anampiga mtama mdada mmoja hivi asee sitaki kuendelea kama nitaipata nitaleta trailer yake uone madudu[emoji23][emoji23][emoji23]