Must see Movies

Must see Movies

Movie ya kawaida sana ila imekuwa hyped sana hasa na uwepo wa Dwayne ila haijanishawishi hata kuirudia ukilinganisha na Uncharted au Red Notice
Wewe unajua muvi. Ongezea na bullet train na a spy who never dies wkend yako iwe saaafi
 
Ukiona mtu anaponda movie flan ujue anajua sana au kashatizama movie nyingi so akikompare alizotazama na hiyo anaona kaibiwa muda wake tu...

Kwa mafano nikikuta unaisifia money heist najua hujui movie.
Wale waliokuwa wanashindanisha Money heist na PB nilikuwa nawashangaa sana[emoji16][emoji16][emoji16]
 
ila hii ya kikuda sana effect za kishamba kabisa kama movie za majoka za kichina [emoji23].
Hii kitu ndio imefanya niache kuangalia hizo movies, unakuta effects za uongo kabisa yani kama katuni. Niliona moja ya mapapa ila jina nimeisahau, yaani wale sharks kama wamchongo jinsi wanavyo move kwenye maji uongo mtupu.
Sharks wanakimbia kama wapo fast forwaded effects hazimake sense kabisa. Yani unakuta shark anakuja nduki wame mfast foward ndani ya meter chache mtu anaogelea anaenda anamuokoa victim wanarudi nchi kavu yaani hakuna uhalisia kabisa!!
 
nikama movies za channel ya Azam "kix" kuna movie ya mamba na Papa Baba [emoji23] effects zake za kishamba unaweza lia pia kuna trailer nyingine wanaonyeshaga hapo hapo "kix" ety Zoo inashambuliwa na wanyama baada ya kuambukizwa virusi flani mpaka ngedere kawa zombie kuna mamba anampiga mtama mdada mmoja hivi asee sitaki kuendelea kama nitaipata nitaleta trailer yake uone madudu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji16][emoji16]acha tu, unaangalia movie mpaka unajiuliza hivi hawa jamaa wanafikiri mimi ni mtoto au?!
 
Back
Top Bottom