Reuben Challe
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 2,940
- 5,511
Mimi natamani, zitoke muvi nyingine nyingi za mazombie, Hizi zilizopo hazitoshiTatizo nimeangalia All of us are dead sasa mimi sitakagi kurudia idea ile ile
We need more
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi natamani, zitoke muvi nyingine nyingi za mazombie, Hizi zilizopo hazitoshiTatizo nimeangalia All of us are dead sasa mimi sitakagi kurudia idea ile ile
Umecheki hizi??Mimi natamani, zitoke muvi nyingine nyingi za mazombie, Hizi zilizopo hazitoshi
We need more
idea zote za hzo movies ni tofautiTatizo nimeangalia All of us are dead sasa mimi sitakagi kurudia idea ile ile
Seoul station sio animation??Umecheki hizi??
Walking dead
I am the legend
Last of us
Seoul station
AnimationSeoul station sio animation??
Hii si ndio Busan namba mbili?! Hamna kitu humu!kosa kubwa sanaaaaaaa ulikuwa unafanya
na ukimaliza hyo
pakua na hzi
hyo peninsula ni ya moto sanaaaaaaaaView attachment 2598181View attachment 2598183
Watu wanasema haijabamba sana. Ile Train to Busan ilikuwa na vurugu sana na watu walikuwa wanahangaika kuokoa maisha yao kwa shida.Hii si ndio Busan namba mbili?! Hamna kitu humu!
Hii ya pili hata effects zake kama za uongo uongo. Niliiangalia mara moja tu sikuirudia tena. Nahisi wale walitoa ya kwanza sio ndio waliotoa ya pili [emoji16]Watu wanasema haijabamba sana. Ile Train to Busan ilikuwa na vurugu sana na watu walikuwa wanahangaika kuokoa maisha yao kwa shida.
Ila kwenye hii mpya ulegendi mwingi. Mazombie wanauliwa kiurahisi tu kwa kutumia bunduki kwa hiyo ladha imepungua. Hata trailer ni la kawaida
Halafu Hollywood ndio wameacha kutoa movies za Zombies? Au wameona hazina tija.Hii ya pili hata effects zake kama za uongo uongo. Niliiangalia mara moja tu sikuirudia tena. Nahisi wale walitoa ya kwanza sio ndio waliotoa ya pili [emoji16]
Wrong turn nayo imekuwa ya kawaida sanaHalafu Hollywood ndio wameacha kutoa movies za Zombies? Au wameona hazina tija.
Wakitoa zombie movies zinakuwa za kawaida kama Army of the Dead halafu wanajaza comedy ndani ya movies. Ni ngumu kukuta Hollywood movies type ya Train to Busan miaka hii ya karibuni
Mara yao ya mwisho kutoa movie Kali ya aina hii ilikuwa walipotoa "World war Z"
Sijui shida ni nini[emoji1751]Wrong turn nayo imekuwa ya kawaida sana
za nyuma zilikuwa fire sanaaaSijui shida ni nini[emoji1751]
World war Z[emoji91][emoji91][emoji106]Halafu Hollywood ndio wameacha kutoa movies za Zombies? Au wameona hazina tija.
Wakitoa zombie movies zinakuwa za kawaida kama Army of the Dead halafu wanajaza comedy ndani ya movie.za mazombie. Ni ngumu kukuta Hollywood movies type ya Train to Busan miaka hii ya karibuni
Mara yao ya mwisho kutoa movie kali ya aina hii ilikuwa "World war Z"
Train to busan nilipenda story yake mwanzoniHii ya pili hata effects zake kama za uongo uongo. Niliiangalia mara moja tu sikuirudia tena. Nahisi wale walitoa ya kwanza sio ndio waliotoa ya pili [emoji16]
Ila bado itabaki kuwa filamu moja kaliiiTrain to busan nilipenda story yake mwanzoni
ni real sana, washkaji wamepigika halafu umekuja mchongo wa kuuza nafsi ile kitu bwana ni real sana kwa ukanda huu maana kuna stage mtu anafika anaona heri akafe tu mana hata ukisema ung'ang'anie uraiani hamna faida ni msoto
Hii ya pili imetolewa na watu wengine kabisa ndo maana wameweka hadi mashindano ya magari walikosa story kabisaHii ya pili hata effects zake kama za uongo uongo. Niliiangalia mara moja tu sikuirudia tena. Nahisi wale walitoa ya kwanza sio ndio waliotoa ya pili [emoji16]
Ndio maana hamna kitu mule!Hii ya pili imetolewa na watu wengine kabisa ndo maana wameweka hadi mashindano ya magari walikosa story kabisa
Na mimi nimeachana nayoNdio maana hamna kitu mule!
Tafuta movie ingine kakaNa mimi nimeachana nayo