Must see Movies

Must see Movies

Coming soon
 
Attachments

  • IMG_7747.jpeg
    IMG_7747.jpeg
    75.1 KB · Views: 10
Hii si ndio Busan namba mbili?! Hamna kitu humu!
Watu wanasema haijabamba sana. Ile Train to Busan ilikuwa na vurugu sana na watu walikuwa wanahangaika kuokoa maisha yao kwa shida.
Ila kwenye hii mpya ulegendi mwingi. Mazombie wanauliwa kiurahisi tu kwa kutumia bunduki kwa hiyo ladha imepungua. Hata trailer ni la kawaida
 
Hii ya pili hata effects zake kama za uongo uongo. Niliiangalia mara moja tu sikuirudia tena. Nahisi wale walitoa ya kwanza sio ndio waliotoa ya pili [emoji16]
 
Halafu Hollywood ndio wameacha kutoa movies za Zombies? Au wameona hazina tija.
Wakitoa zombie movies zinakuwa za kawaida kama Army of the Dead halafu wanajaza comedy ndani ya movie.za mazombie. Ni ngumu kukuta Hollywood movies type ya Train to Busan miaka hii ya karibuni
Mara yao ya mwisho kutoa movie kali ya aina hii ilikuwa "World war Z"
 
Wakitoa zombie movies zinakuwa za kawaida kama Army of the Dead halafu wanajaza comedy ndani ya movies. Ni ngumu kukuta Hollywood movies type ya Train to Busan miaka hii ya karibuni
Mara yao ya mwisho kutoa movie Kali ya aina hii ilikuwa walipotoa "World war Z"
Wrong turn nayo imekuwa ya kawaida sana
 
Halafu Hollywood ndio wameacha kutoa movies za Zombies? Au wameona hazina tija.
Wakitoa zombie movies zinakuwa za kawaida kama Army of the Dead halafu wanajaza comedy ndani ya movie.za mazombie. Ni ngumu kukuta Hollywood movies type ya Train to Busan miaka hii ya karibuni
Mara yao ya mwisho kutoa movie kali ya aina hii ilikuwa "World war Z"
World war Z[emoji91][emoji91][emoji106]
 
Hii ya pili hata effects zake kama za uongo uongo. Niliiangalia mara moja tu sikuirudia tena. Nahisi wale walitoa ya kwanza sio ndio waliotoa ya pili [emoji16]
Train to busan nilipenda story yake mwanzoni
ni real sana, washkaji wamepigika halafu umekuja mchongo wa kuuza nafsi ile kitu bwana ni real sana kwa ukanda huu maana kuna stage mtu anafika anaona heri akafe tu mana hata ukisema ung'ang'anie uraiani hamna faida ni msoto
 
Ila bado itabaki kuwa filamu moja kaliii
 
Hii ya pili hata effects zake kama za uongo uongo. Niliiangalia mara moja tu sikuirudia tena. Nahisi wale walitoa ya kwanza sio ndio waliotoa ya pili [emoji16]
Hii ya pili imetolewa na watu wengine kabisa ndo maana wameweka hadi mashindano ya magari walikosa story kabisa
 
Back
Top Bottom