Must see Movies

Must see Movies

Upgrade 2018
Hii muvi ni tamu sana, Kama haujaiangalia fanya mpango uitafute [emoji91][emoji91]
images%20(17).jpg
 
Upgrade 2018
Hii muvi ni tamu sana, Kama haujaiangalia fanya mpango uitafute [emoji91][emoji91]View attachment 2608841
Hi sio Ile ambayo mwamba anawekewa kidude shingoni ambacho kinam control alafu Ni teknolojia ya juu sana then Kuna mwamba yeye mkono wake kauwekea bullet yaaan Kama bunduki ndani ya nyama ya mkono ???
 
Kumbe "All of us are Dead" haipo kwenye list yako mkuu, hii series ndio nimeielewa Kwa 2022 yote
Hujacheki hiyo big mouth ni Kali mno mpaka sasa sijaona series Kali ya mwaka Huu ya kikorea zaidi ya hiyo kuanzia story, mpangilio wake wa matukio na matumizi ya akili yaliyotumika humo ni 🔥
 
Ikoje tupe short story
Mkuu hiyo movie iko poa ishushe, sikumbuki vizuri ila jamaa alipata ajali na mke wake then mke wake anauliwa na yeye anapigwa risasi ya shingo inayompelekea kuparalyze. Wakati akiendelea kutunzwa na mama ake, kuna jamaa mmoja anakuja anamshauri awekewe chip itakayomsaidia kumrudisha katika hali ya kawaida aweze kutembea ila makubaliano aendelee kupretend kwamba bado hawez kutembea. Kuna siku akiwa anaangalia video ya ajali na mauaji ya mke wake, anasikia sauti kichwani mwake (kutoka kwenye hiyo implanted chip) inamwambia inaweza kumsaidia kupata hao wauaji.

Jamaa anakubali inampeleka mpk kwa suspect wa kwanza na kujiridhisha kabisa, sasa kipengele ni kwamba yeye ni mlemavu kupigana hawezi, ile chip from inside inamuomba full body control aweze kupambana, jamaa baada ya kukubali anakuwa kama killing machine, anagawa dozi sio mchezo kama robot[emoji16]. Jamaa akaendelea kuwatafuta maadui zake kwa staili hiyo.

Sasa detective aliyepewa kazi ya kuchunguza hivyo vifo anashangaa kumuona jamaa kwenye eneo la tukio kupitia video zilizorekodiwa na kama cctv camera, lakini hafikirii kama ndio muhusika maana mtu mwenyewe anashinda kwenye wheelchair anabaki kujisemea labda ni coincidence tu..... [emoji16][emoji16]
detective-cortez-upgrade.jpg
 
Mkuu hiyo movie iko poa ishushe, sikumbuki vizuri ila jamaa alipata ajali na mke wake then mke wake anauliwa na yeye anapigwa risasi ya shingo inayompelekea kuparalyze. Wakati akiendelea kutunzwa na mama ake, kuna jamaa mmoja anakuja anamshauri awekewe chip itakayomsaidia kumrudisha katika hali ya kawaida aweze kutembea ila makubaliano aendelee kupretend kwamba bado hawez kutembea. Kuna siku akiwa anaangalia video ya ajali na mauaji ya mke wake, anasikia sauti kichwani mwake (kutoka kwenye hiyo implanted chip) inamwambia inaweza kumsaidia kupata hao wauaji.

Jamaa anakubali inampeleka mpk kwa suspect wa kwanza na kujiridhisha kabisa, sasa kipengele ni kwamba yeye ni mlemavu kupigana hawezi, ile chip from inside inamuomba full body control aweze kupambana, jamaa baada ya kukubali anakuwa kama killing machine, anagawa dozi sio mchezo kama robot[emoji16]. Jamaa akaendelea kuwatafuta maadui zake kwa staili hiyo.

Sasa detective aliyepewa kazi ya kuchunguza hivyo vifo anashangaa kumuona jamaa kwenye eneo la tukio kupitia video zilizorekodiwa na kama cctv camera, lakini hafikirii kama ndio muhusika maana mtu mwenyewe anashinda kwenye wheelchair anabaki kujisemea labda ni coincidence tu..... [emoji16][emoji16]View attachment 2610445
Umeeleweka vizuri sana [emoji106][emoji106]
 
Back
Top Bottom