Reuben Challe
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 2,940
- 5,511
Upgrade 2018
Hii muvi ni tamu sana, Kama haujaiangalia fanya mpango uitafute [emoji91][emoji91]
Hii muvi ni tamu sana, Kama haujaiangalia fanya mpango uitafute [emoji91][emoji91]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inamkong'oto?Upgrade 2018
Hii muvi ni tamu sana, Kama haujaiangalia fanya mpango uitafute [emoji91][emoji91]View attachment 2608841
Yeah... Hiyo ni Action movieInamkong'oto?
Ina mbs ngapi hukoIpo Netnaija
Aisee mkuu we bando unaunga la bei gani 🤔 mbona ni GB tu😃Voda kwenye suala la Internet speed wepewe maua yao[emoji119]View attachment 2607512View attachment 2607513
Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
Hi sio Ile ambayo mwamba anawekewa kidude shingoni ambacho kinam control alafu Ni teknolojia ya juu sana then Kuna mwamba yeye mkono wake kauwekea bullet yaaan Kama bunduki ndani ya nyama ya mkono ???Upgrade 2018
Hii muvi ni tamu sana, Kama haujaiangalia fanya mpango uitafute [emoji91][emoji91]View attachment 2608841
Ndio hiyohiyo bossHi sio Ile ambayo mwamba anawekewa kidude shingoni ambacho kinam control alafu Ni teknolojia ya juu sana then Kuna mwamba yeye mkono wake kauwekea bullet yaaan Kama bunduki ndani ya nyama ya mkono ???
They are called "True movie fans"Aisee mkuu we bando unaunga la bei gani [emoji848] mbona ni GB tu[emoji2]
Hio movie ni noma sana mkuuNdio hiyohiyo boss
[emoji16][emoji16]uhuni rasmi..Aisee mkuu we bando unaunga la bei gani [emoji848] mbona ni GB tu[emoji2]
Sure kakaThey are called "True movie fans"
They do whatever it takes to get movies at highest quality as possible [emoji28][emoji28]
Hujacheki hiyo big mouth ni Kali mno mpaka sasa sijaona series Kali ya mwaka Huu ya kikorea zaidi ya hiyo kuanzia story, mpangilio wake wa matukio na matumizi ya akili yaliyotumika humo ni 🔥Kumbe "All of us are Dead" haipo kwenye list yako mkuu, hii series ndio nimeielewa Kwa 2022 yote
Ikoje tupe short storyUpgrade 2018
Hii muvi ni tamu sana, Kama haujaiangalia fanya mpango uitafute [emoji91][emoji91]View attachment 2608841
Mkuu hiyo movie iko poa ishushe, sikumbuki vizuri ila jamaa alipata ajali na mke wake then mke wake anauliwa na yeye anapigwa risasi ya shingo inayompelekea kuparalyze. Wakati akiendelea kutunzwa na mama ake, kuna jamaa mmoja anakuja anamshauri awekewe chip itakayomsaidia kumrudisha katika hali ya kawaida aweze kutembea ila makubaliano aendelee kupretend kwamba bado hawez kutembea. Kuna siku akiwa anaangalia video ya ajali na mauaji ya mke wake, anasikia sauti kichwani mwake (kutoka kwenye hiyo implanted chip) inamwambia inaweza kumsaidia kupata hao wauaji.Ikoje tupe short story
Nyingi sana nimeziacha hapo mfano narcos , BMF,alchemy of soul, bands of brothers, snowfall,blindspot,Kumbe "All of us are Dead" haipo kwenye list yako mkuu, hii series ndio nimeielewa Kwa 2022 yote
Umeeleweka vizuri sana [emoji106][emoji106]Mkuu hiyo movie iko poa ishushe, sikumbuki vizuri ila jamaa alipata ajali na mke wake then mke wake anauliwa na yeye anapigwa risasi ya shingo inayompelekea kuparalyze. Wakati akiendelea kutunzwa na mama ake, kuna jamaa mmoja anakuja anamshauri awekewe chip itakayomsaidia kumrudisha katika hali ya kawaida aweze kutembea ila makubaliano aendelee kupretend kwamba bado hawez kutembea. Kuna siku akiwa anaangalia video ya ajali na mauaji ya mke wake, anasikia sauti kichwani mwake (kutoka kwenye hiyo implanted chip) inamwambia inaweza kumsaidia kupata hao wauaji.
Jamaa anakubali inampeleka mpk kwa suspect wa kwanza na kujiridhisha kabisa, sasa kipengele ni kwamba yeye ni mlemavu kupigana hawezi, ile chip from inside inamuomba full body control aweze kupambana, jamaa baada ya kukubali anakuwa kama killing machine, anagawa dozi sio mchezo kama robot[emoji16]. Jamaa akaendelea kuwatafuta maadui zake kwa staili hiyo.
Sasa detective aliyepewa kazi ya kuchunguza hivyo vifo anashangaa kumuona jamaa kwenye eneo la tukio kupitia video zilizorekodiwa na kama cctv camera, lakini hafikirii kama ndio muhusika maana mtu mwenyewe anashinda kwenye wheelchair anabaki kujisemea labda ni coincidence tu..... [emoji16][emoji16]View attachment 2610445
Wahindi hao hawana mambo kunyanyua gari kwa mkono[emoji16]Ishushe haraka sana bila kuchelewa sitaki maswali ya inahusu nini ninacho jua inamkong'oto !!!!!!!!!!
Series.
View attachment 2610957
Siwezi kushea muvi za hivyo mimi.Wahindi hao hawana mambo kunyanyua gari kwa mkono[emoji16]