Must see Movies

Must see Movies

Siwezi kushea muvi za hivyo mimi.
[emoji16][emoji16][emoji16] eti watu wana mabawa miguuni na mikia ndo nishee muvi za hivyo? Au mtu anadaka pikipiki kama zike kawasak hewani halafu anairusha juu ghorofani hakika siwezi
Unatishika na sura za kihindi? Kaangalie kazi za russo brothers uonfoe mashaka yako [emoji16][emoji16][emoji16]
Kaka nishaipakua ntakuletea mrejesho[emoji16]
 
masikitiko.
mzigo utakuwa na episodes 6 tu
Screenshot_20230505-200045.png
 
Mkuu hiyo movie iko poa ishushe, sikumbuki vizuri ila jamaa alipata ajali na mke wake then mke wake anauliwa na yeye anapigwa risasi ya shingo inayompelekea kuparalyze. Wakati akiendelea kutunzwa na mama ake, kuna jamaa mmoja anakuja anamshauri awekewe chip itakayomsaidia kumrudisha katika hali ya kawaida aweze kutembea ila makubaliano aendelee kupretend kwamba bado hawez kutembea. Kuna siku akiwa anaangalia video ya ajali na mauaji ya mke wake, anasikia sauti kichwani mwake (kutoka kwenye hiyo implanted chip) inamwambia inaweza kumsaidia kupata hao wauaji.

Jamaa anakubali inampeleka mpk kwa suspect wa kwanza na kujiridhisha kabisa, sasa kipengele ni kwamba yeye ni mlemavu kupigana hawezi, ile chip from inside inamuomba full body control aweze kupambana, jamaa baada ya kukubali anakuwa kama killing machine, anagawa dozi sio mchezo kama robot[emoji16]. Jamaa akaendelea kuwatafuta maadui zake kwa staili hiyo.

Sasa detective aliyepewa kazi ya kuchunguza hivyo vifo anashangaa kumuona jamaa kwenye eneo la tukio kupitia video zilizorekodiwa na kama cctv camera, lakini hafikirii kama ndio muhusika maana mtu mwenyewe anashinda kwenye wheelchair anabaki kujisemea labda ni coincidence tu..... [emoji16][emoji16]View attachment 2610445
and finally STEM ametakeover grey's body.
 
Back
Top Bottom