Must see Movies

Must see Movies

Guys ule mzigo wa moto wakuitwa SISU umeachiliwa leo kitu piruuuuuu...
Screenshot_2023-05-16-20-10-22-67_92b13083cedf301196e2270b2f1fa7eb.jpg
 
Ndio maana zilianza kukosa mvuto. Hata yeye mwenyewe pia muvi zake alizotoa hivi karibuni hazina mvuto wpwote kama black adam.

Anherudi kwenye enzi zake za sky scraper ingekuwa poa sana
Black Adam ni muvi ya ovyo kabisa 🤣🤣
DC mwaka jana wameboronga tu. Bora hata Black Adam kuna takataka inaitwa The Batman 2022, yaani ni ovyo tu halafu ina rating ya 7.8 IMDb. Shenzi kabisa 😂😂
 
na wewe una ugonjwa kma wangu wa kuangalia movie na subtitle [emoji16][emoji16]
Bila subtitles napata shida kuelewa wanachoongea. Si unajua wengine tupo vizuri kwenye vocabulary za English lakini Americans wakianza kupiga ngeli, kwenye kusikiliza wengine kinatupiga chenga😆😆
Subtitles muhimu bhana
 
Duh.... Thread imepoa balaa[emoji28][emoji28]
Kweli nimeamini huu mwaka bado hakuna vigongo vikali [emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom