Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,549
- 10,995
Atakosa mengi sana me Rate za IMDB sometimes nachukulia kama siasa za bongoKuna mdau ana relay kwenye number of ratings akiona ni chini ya 7 anasema muvi inaweza isiwe nzuri. Nikamwambia aendeleee hivyohivyo atakuwa anapishana na vitu vizuri.
Zipo mbili mimi napendelea zaidi hii hapa
View attachment 2634943