Must see Movies

Must see Movies

Jana nimeshusha movie mbili na nikaziangalia zote, OLD GUARD na FALL.

Naombeni recommendation ya movies kali.
 
We have geniune conundrum[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mr Killa Han
Umeona wazungu walivyonoma uwezi kuamini kwamba yule bonge ndo Scott adkins, huku bongo JB anaigiza bonge tangu mtoto mpka anazeeka abadiliki
Screenshot_20230526-154401.jpg
Screenshot_20230526-154516.jpg
 
halafu movie nzima jamaa kaongea maneno kumi tu.
[emoji16][emoji16]namimi nilitaka niseme hivyo hivyo, ile movie haina hata haja ya subtitles maana hata story hamna na sentence ni fupi fupi tu kutoa amri na kupokea amri!!
 
Swala sio GB ngapi. Swala ni kuwa unapenda muvi? Kama jibu ni ndio huwezi kuwaza kuhusu MB. mission ya kwanza ni kupata muvi kwanza
Mimi hata nikiwa na mb 500 wazo la kwanza ni kuchungulia muvi gani ipo kwenye watch list yangu, naishusha chap no mara waaat
 
Robots 2023[emoji16][emoji16]
Genre: sc-fi/fantasy/comedy

Jamaa amenunua roboti ambalo amefanana nalo 100%. Linamwendea ofisini, linamtafutia na madem yeye jamaa anaenda siku za kuweka tu[emoji38][emoji38].
Roboti likakutana na dem mpya mkali, kama kawaida siku ya kwenda kuweka alikuwa na meeting ikabidi wasaidiane majukumu na robot lake, akajikuta anamix address, jamaa akachukua ya meeting, robot lake likchukua ya nyumban kwa demu[emoji38][emoji38].
Guess what, kumbe yule dem nae ni roboti. Yan kuna mdada wa mjini nae kazi yake ni kuchuna wanaume kupitia hilo roboti. Finally maroboti yanazama kwenye penzi nzito.........
Robots_2023_film.jpg
 
Back
Top Bottom