Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
Application ONESTREAM hiyo ina kila movie na seriesHii ni site gani? Kama hautojali nisogezee link.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Application ONESTREAM hiyo ina kila movie na seriesHii ni site gani? Kama hautojali nisogezee link.
kumbe ndo hii mzee, niliitazama kwenye bus la KILIMANJARO dakika 15 hazikuishaUsiseme hata iweje coz umeshajijengea utamaduni wa kutoziangalia
I'm sure kama umeiona Day Shift usingesema hivi
Nimeenda Playstore ila nikisearch zinakuja App nyingine tofauti na hiyo icon inayoonekana kwenye picha yako. Kwenye hiyo app yako unaweza kudownload au streaming tu?Application ONESTREAM hiyo ina kila movie na series View attachment 2655215
kumbe ndo hii mzee, niliitazama kwenye bus la KILIMANJARO dakika 15 hazikuishaUsiseme hata iweje coz umeshajijengea utamaduni wa kutoziangalia
I'm sure kama umeiona Day Shift usingesema hivi
Una download na kistream na unachagua quality unayoitaka na unazikuta na subtitles kabisaNimeenda Playstore ila nikisearch zinakuja App nyingine tofauti na hiyo icon inayoonekana kwenye picha yako. Kwenye hiyo app yako unaweza kudownload au streaming tu?View attachment 2655232
App yenyewe ndio hii niliyokuonyesha?Una download na kistream na unachagua quality unayoitaka na unazikuta na subtitles kabisa
Tumia Google search ONESTREAM APK alafu utaitafuta hapoApp yenyewe ndio hii niliyokuonyesha?
Hapa sasa umeeleweka.Tumia Google search ONESTREAM APK alafu utaitafuta hapo
Za kwenye mabasi ya Kilimanjaro zimetafsiriwa [emoji1787][emoji1787]kumbe ndo hii mzee, niliitazama kwenye bus la KILIMANJARO dakika 15 hazikuisha
aiseee nilivaa zangu earphone
yaani kwanza nikishamuonaga hyo Jamie Foxx tu tayari movie kwangu ni hovyo
mara 100 nimtazame will Smith kuliko hyo aisee
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2655223
Hii app nimeikubali sana kwenye quality, nadhani nimechelewa sa kuifahamu.Tumia Google search ONESTREAM APK alafu utaitafuta hapo
Unaweza kudownload? Au ndio streaming tu?Hii app nimeikubali sana kwenye quality, nadhani nimechelewa sa kuifahamu.View attachment 2655260
Hapo kabla nilikuwa natumia NetNaija, Goojara na Nkiri.View attachment 2655261
Pamoja sana.
Inawezekana.Unaweza kudownload? Au ndio streaming tu?
Dah sijui alienda wapi....kwa tulipokuwa usikute hata au basi!!!Nimejaribu kuangalia, mara ya mwisho kutoa mchango humu ni mwaka 2021.
Inawezekana kabisa maana kukaa kimya ndani ya miaka miwili ghafla wakati huko nyuma alikuwa active kwa zaidi ya miaka 12, inafikirisha sana.Dah sijui alienda wapi....kwa tulipokuwa usikute hata au basi!!!
Huu mzigo ni noma mimi hata sikumbuki niliupata wapiHii app nimeikubali sana kwenye quality, nadhani nimechelewa sa kuifahamu.View attachment 2655260
Hapo kabla nilikuwa natumia NetNaija, Goojara na Nkiri.View attachment 2655261
Pamoja sana.
Mimi nipo hapa BAND OF BROTHERS moja kati ya series kali za kijeshi na kivitaKama wameweka hata hii movie ya 2002, basi hili ndio chimbo zuri.
Mimi nipo hapa BAND OF BROTHERS moja kati ya series kali za kijeshi na kivita View attachment 2655296