Must see Movies

Must see Movies

Hii ni site gani? Kama hautojali nisogezee link.
Application ONESTREAM hiyo ina kila movie na series
Screenshot_20230612-194327.jpg
 
Usiseme hata iweje coz umeshajijengea utamaduni wa kutoziangalia
I'm sure kama umeiona Day Shift usingesema hivi
kumbe ndo hii mzee, niliitazama kwenye bus la KILIMANJARO dakika 15 hazikuisha

aiseee nilivaa zangu earphone

yaani kwanza nikishamuonaga hyo Jamie Foxx tu tayari movie kwangu ni hovyo

mara 100 nimtazame will Smith kuliko hyo aisee

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
1686588367170.jpg
 
Usiseme hata iweje coz umeshajijengea utamaduni wa kutoziangalia
I'm sure kama umeiona Day Shift usingesema hivi
kumbe ndo hii mzee, niliitazama kwenye bus la KILIMANJARO dakika 15 hazikuisha

aiseee nilivaa zangu earphone

yaani kwanza nikishamuonaga hyo Jamie Foxx tu tayari movie kwangu ni hovyo

mara 100 nimtazame will Smith kuliko hyo aisee

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2655223
 
Za kwenye mabasi ya Kilimanjaro zimetafsiriwa [emoji1787][emoji1787]
Sikulaumu kama uliamua kuvaa earphones tena kuangalia movies kwenye mabasi inachosha plus IMETAFSIRIWA [emoji777][emoji777] ila kiufupi hauwezi kutoa review ya kueleweka kama uliamua kuvaa earphones na kudharau movie eti kisa aliyeact ni Jamie Fox

Kwa hiyo, hiyo muvi bado haujaifahamu mkuu
 
Kama wameweka hata hii movie ya 2002, basi hili ndio chimbo zuri.
 
Attachments

  • Screenshot_20230612-202132.png
    Screenshot_20230612-202132.png
    107.4 KB · Views: 9
Back
Top Bottom