Must see Movies

Must see Movies

Sisi watanzania wengi huwa hatujali sana storyline(lugha tatizo kubwa sana kwa wengi wetu). Sie tunataka waongee kidogo ngumi zianze kutembea na risasi zipigwe za kutosha. Ndo maana wengi wanasifia SISU, RAID, na zingine zenye hadhi kama hiyo.

Ukifuatilia wengi hapa kuwauliza hiyo "night agent" inahusu nini utashangaa majibu ya walio wengi. Hiyo COVENANT movie tamu sana. Storyline nzuri na execution nzuri pia.

Ukitaka ngumi nyingi na risasi nyingi zisizo na ulazima angalia movie za kichina, Thailand na the likes
Umemaliza kabisa kaka hakuna cha kuongezea.
 
Ipi inafaa kupewa heshima kati ya hzo mbili?
IMG_20230613_015244.jpg
 
kumbe ndo hii mzee, niliitazama kwenye bus la KILIMANJARO dakika 15 hazikuisha

aiseee nilivaa zangu earphone

yaani kwanza nikishamuonaga hyo Jamie Foxx tu tayari movie kwangu ni hovyo

mara 100 nimtazame will Smith kuliko hyo aisee

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2655223
Humu Jamie Foxx hajaboa sana. Ni movie poa tu mkuu hasa kama unapenda filam za comedy pia
 
Za kwenye mabasi ya Kilimanjaro zimetafsiriwa [emoji1787][emoji1787]
Sikulaumu kama uliamua kuvaa earphones tena kuangalia movies kwenye mabasi inachosha plus IMETAFSIRIWA [emoji777][emoji777] ila kiufupi hauwezi kutoa review ya kueleweka kama uliamua kuvaa earphones na kudharau movie eti kisa aliyeact ni Jamie Fox

Kwa hiyo, hiyo muvi bado haujaifahamu mkuu
sijawahi onaga movie ya kutafsiriwa kwenye bus la KILIMANJARO aisee, labda kama ulimaanisha mabus yanayoenda Shinyanga ama kigoma[emoji16][emoji16]

hyo movie hapana kuna ucomedy ambao hauchekeshi

tena Jamie fox mburaaaaa

mtu pekee ninayeweza kucheki actions zenye ucomedy ni Jackie chan peke yake duniani

na Jackie akiamua kuwa serious kwenye scene anakuwa serious hasa

that is pure talent aiseeee.
 
Sasa wewe unajudge movie ambayo haujaiona then unaanza kuingiza movie za Jackie Chan [emoji38][emoji38]
Nilichokuwa nasema ni kwamba Day Shift ni kali kuliko Top gun
Kwenye Top gun Maverick sijaona cha maana zaidi ya hype ambayo watu wanaipa
Kwanza umeshajionesha kuwa ili movie iwe nzuri kwako ni lazima iwe na characters unaowapenda wewe. Sishangai kwa nini hukuiangalia Day Shift
 
sijawahi onaga movie ya kutafsiriwa kwenye bus la KILIMANJARO aisee, labda kama ulimaanisha mabus yanayoenda Shinyanga ama kigoma[emoji16][emoji16]

hyo movie hapana kuna ucomedy ambao hauchekeshi

tena Jamie fox mburaaaaa

mtu pekee ninayeweza kucheki actions zenye ucomedy ni Jackie chan peke yake duniani

na Jackie akiamua kuwa serious kwenye scene anakuwa serious hasa

that is pure talent aiseeee.
Mkuu actors wote kwenye comedy movies hujamuona yoyote zaid J. Chan[emoji16]
 
Una download na kistream na unachagua quality unayoitaka na unazikuta na subtitles kabisa
Nimeshadownload app hii hapa.
Naomba unielekeze jinsi ya kudownload movie hapa maana naweza kustream tu.
Hili chimbo ni zuri kuliko goojara coz unaweka subtitles kabisa huku unastream.
Humu at least nimeziona movie kama Saw 1 hadi 7 ambazo nilikuwa nazitafuta sana ila kudownload nashindwa
Screenshot_2023-06-13-11-16-26-362_com.onstream.android.jpg
 
Nimeshadownload app hii hapa.
Naomba unielekeze jinsi ya kudownload movie hapa maana naweza kustream tu.
Hili chimbo ni zuri kuliko goojara coz unaweka subtitles kabisa huku unastream.
Humu at least nimeziona movie kama Saw 1 hadi 7 ambazo nilikuwa nazitafuta sana ila kudownload nashindwa
View attachment 2655844
Mfano huo nimeclick hiyo John wick inaniletea options 2 watch and download
Screenshot_20230613_112727_OnStream.jpg
 
Nimeshadownload app hii hapa.
Naomba unielekeze jinsi ya kudownload movie hapa maana naweza kustream tu.
Hili chimbo ni zuri kuliko goojara coz unaweka subtitles kabisa huku unastream.
Humu at least nimeziona movie kama Saw 1 hadi 7 ambazo nilikuwa nazitafuta sana ila kudownload nashindwa
View attachment 2655844
Ukienda kwenye download itakuleta option ya kuchagua quality
Screenshot_20230613_112743_OnStream.jpg
 
Nimeshadownload app hii hapa.
Naomba unielekeze jinsi ya kudownload movie hapa maana naweza kustream tu.
Hili chimbo ni zuri kuliko goojara coz unaweka subtitles kabisa huku unastream.
Humu at least nimeziona movie kama Saw 1 hadi 7 ambazo nilikuwa nazitafuta sana ila kudownload nashindwa
View attachment 2655844
Ukichagua quality itakuletea option ya kuchagua subtitles then utadownload unatakiwa uwe na application ya SPLAYER
Screenshot_20230613_112806_OnStream.jpg
Screenshot_20230612-194327.jpg
 
Back
Top Bottom