Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
Itafute hii hutajuta kuanzia episode 1 ni Jeshi tuuh hamna mapenzi humo ndaniNapenda sana movies na series genre ya Thriller, Action and War.
Hii nitaitafuta pia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itafute hii hutajuta kuanzia episode 1 ni Jeshi tuuh hamna mapenzi humo ndaniNapenda sana movies na series genre ya Thriller, Action and War.
Hii nitaitafuta pia.
Umemaliza kabisa kaka hakuna cha kuongezea.Sisi watanzania wengi huwa hatujali sana storyline(lugha tatizo kubwa sana kwa wengi wetu). Sie tunataka waongee kidogo ngumi zianze kutembea na risasi zipigwe za kutosha. Ndo maana wengi wanasifia SISU, RAID, na zingine zenye hadhi kama hiyo.
Ukifuatilia wengi hapa kuwauliza hiyo "night agent" inahusu nini utashangaa majibu ya walio wengi. Hiyo COVENANT movie tamu sana. Storyline nzuri na execution nzuri pia.
Ukitaka ngumi nyingi na risasi nyingi zisizo na ulazima angalia movie za kichina, Thailand na the likes
BIpi inafaa kupewa heshima kati ya hzo mbili?View attachment 2655558
Naona mkuu umejipanga, huku Stark vpn kule HA[emoji16]Application ONESTREAM hiyo ina kila movie na series View attachment 2655215
Humu Jamie Foxx hajaboa sana. Ni movie poa tu mkuu hasa kama unapenda filam za comedy piakumbe ndo hii mzee, niliitazama kwenye bus la KILIMANJARO dakika 15 hazikuisha
aiseee nilivaa zangu earphone
yaani kwanza nikishamuonaga hyo Jamie Foxx tu tayari movie kwangu ni hovyo
mara 100 nimtazame will Smith kuliko hyo aisee
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2655223
sijawahi onaga movie ya kutafsiriwa kwenye bus la KILIMANJARO aisee, labda kama ulimaanisha mabus yanayoenda Shinyanga ama kigoma[emoji16][emoji16]Za kwenye mabasi ya Kilimanjaro zimetafsiriwa [emoji1787][emoji1787]
Sikulaumu kama uliamua kuvaa earphones tena kuangalia movies kwenye mabasi inachosha plus IMETAFSIRIWA [emoji777][emoji777] ila kiufupi hauwezi kutoa review ya kueleweka kama uliamua kuvaa earphones na kudharau movie eti kisa aliyeact ni Jamie Fox
Kwa hiyo, hiyo muvi bado haujaifahamu mkuu
Don't breathe 1 (sio 2) iko more realistic hasa upande wa actions.Ipi inafaa kupewa heshima kati ya hzo mbili?View attachment 2655558
"hajaboa sana"Humu Jamie Foxx hajaboa sana. Ni movie poa tu mkuu hasa kama unapenda filam za comedy pia
Kifupi ni kwamba hajaboa, ila kwa kuwa wewe ume generalize kwamba anakuboa ndio maana nikasema hajaboa sana[emoji1787]"hajaboa sana"
hii ina maanisha ameboa kidogo sio?[emoji16][emoji16]
Sasa wewe unajudge movie ambayo haujaiona then unaanza kuingiza movie za Jackie Chan [emoji38][emoji38]sijawahi onaga movie ya kutafsiriwa kwenye bus la KILIMANJARO aisee, labda kama ulimaanisha mabus yanayoenda Shinyanga ama kigoma[emoji16][emoji16]
hyo movie hapana kuna ucomedy ambao hauchekeshi
tena Jamie fox mburaaaaa
mtu pekee ninayeweza kucheki actions zenye ucomedy ni Jackie chan peke yake duniani
na Jackie akiamua kuwa serious kwenye scene anakuwa serious hasa
that is pure talent aiseeee.
Mkuu actors wote kwenye comedy movies hujamuona yoyote zaid J. Chan[emoji16]sijawahi onaga movie ya kutafsiriwa kwenye bus la KILIMANJARO aisee, labda kama ulimaanisha mabus yanayoenda Shinyanga ama kigoma[emoji16][emoji16]
hyo movie hapana kuna ucomedy ambao hauchekeshi
tena Jamie fox mburaaaaa
mtu pekee ninayeweza kucheki actions zenye ucomedy ni Jackie chan peke yake duniani
na Jackie akiamua kuwa serious kwenye scene anakuwa serious hasa
that is pure talent aiseeee.
Nimeshadownload app hii hapa.Una download na kistream na unachagua quality unayoitaka na unazikuta na subtitles kabisa
Mfano huo nimeclick hiyo John wick inaniletea options 2 watch and downloadNimeshadownload app hii hapa.
Naomba unielekeze jinsi ya kudownload movie hapa maana naweza kustream tu.
Hili chimbo ni zuri kuliko goojara coz unaweka subtitles kabisa huku unastream.
Humu at least nimeziona movie kama Saw 1 hadi 7 ambazo nilikuwa nazitafuta sana ila kudownload nashindwa
View attachment 2655844
Ukienda kwenye download itakuleta option ya kuchagua qualityNimeshadownload app hii hapa.
Naomba unielekeze jinsi ya kudownload movie hapa maana naweza kustream tu.
Hili chimbo ni zuri kuliko goojara coz unaweka subtitles kabisa huku unastream.
Humu at least nimeziona movie kama Saw 1 hadi 7 ambazo nilikuwa nazitafuta sana ila kudownload nashindwa
View attachment 2655844
Ukichagua quality itakuletea option ya kuchagua subtitles then utadownload unatakiwa uwe na application ya SPLAYERNimeshadownload app hii hapa.
Naomba unielekeze jinsi ya kudownload movie hapa maana naweza kustream tu.
Hili chimbo ni zuri kuliko goojara coz unaweka subtitles kabisa huku unastream.
Humu at least nimeziona movie kama Saw 1 hadi 7 ambazo nilikuwa nazitafuta sana ila kudownload nashindwa
View attachment 2655844
ShukraniUkichagua quality itakuletea option ya kuchagua subtitles then utadownload unatakiwa uwe na application ya SPLAYER View attachment 2655865View attachment 2655866
wapo wengi tu comedians ila namaanisha kwnye action comedy pekeeMkuu actors wote kwenye comedy movies hujamuona yoyote zaid J. Chan[emoji16]
Hipo playstoreShukrani
Hiyo S Player naipataje. Kama nilivyoipata Onstream au?
OkHipo playstore