Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 18,046
- 38,598
Mzigo ganihuu mzigo unafikirisha sana una maswali mengi kuliko majibu
japo kuna upinde wa kike humu mamaeee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzigo ganihuu mzigo unafikirisha sana una maswali mengi kuliko majibu
japo kuna upinde wa kike humu mamaeee.
Duh Pole sanaKuweni makini hii ni cartoon , nilikua nimedownloadia dogo ili weekend hii aangalie ila nikasema ngoja niipitie kwanza maana NETFLIX siwaamini na kweli nakutana na tukio kama hilo la ushoga View attachment 2680449
Yani bora huo uchafu wangeweka kwenye movie za watu wazima lakini watoto hii ni hatari sana sipati picha miaka mitani ijayo hii industry ya movie itakuajeDuh Pole sana
Kweli hivi nikuwa navyo Makini SANA
FROMMzigo gani
hii series ina maswali mengi sana bdo hayajajibiwa hopely season 3 tutapata hata nusu ya majibu ya matukio ya series nzimaFROM naipa 8/10, haitishi sana ila inakupa kauoga flani ivi. Wale viumbe wanakuja usiku tu halafu wanajua sana kushawishi mtu afungue dirisha au mlango waingie wamle organs za ndani. Wanabembeleza kinyama ufungue dirisha halafu hawakimbizi mtu wenyewe wanatembea tu mdogo mdogo a sura zao za tabasam[emoji3][emoji3]View attachment 2684233
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Imesha toka?Wakuu kama kuna mtu ana link ya kudownload mission impossible dead reckoning msaada tafadhali
Movie imetoka imetoka jana unataka leo uipate onlineWakuu kama kuna mtu ana link ya kudownload mission impossible dead reckoning msaada tafadhali
Tuna hamu nayo kinyama sasa kwa hasira ngoja nishushe mission impossible za awali kwanza ili nikianza iwe bandika banduaMovie imetoka imetoka jana unataka leo uipate online
Kuna site kule telegram wamniudhi sana. Nimedownload 900MB nikakuta picha mbaya lugha haieleweki. Kama ikitoka tushtuane aseeMovie imetoka imetoka jana unataka leo uipate online
Mimi nimezimaliza zote last week leo naenda cinema kabisa kuichekiTuna hamu nayo kinyama sasa kwa hasira ngoja nishushe mission impossible za awali kwanza ili nikianza iwe bandika bandua
Ndio............
Naomba unitajie mpangilio wake kwa majina au kwa miaka nizishusheMimi nimezimaliza zote last week leo naenda cinema kabisa kuicheki
Mission: Impossible (1996)Naomba unitajie mpangilio wake kwa majina au kwa miaka nizishushe
Umeicheki sinema? Nakubaliana na wewe mwrka huu wametoa muvi zilizo tukata kiu kabisaWanangu Mission impossible ni kali [emoji56][emoji56][emoji56] rate 8/10 kusema ukweli mwaka huu upate wa movie hatuwadai kabisa tumeshuhudia vigongo vya kutosha