Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 18,046
- 38,598
Mi nipo miss. Impo. 4 wakati nasuburi hiyo mpyaMission Impossible bado tu hd??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi nipo miss. Impo. 4 wakati nasuburi hiyo mpyaMission Impossible bado tu hd??
Unasema rate ya 3/10? Asee wameharibu wapi?Mission impossible 7 imeshatoka
Kuna part 2 yke naona ndio bado
ila hii part 1 ni mbaya
Naipa rate 3)10
Mission impossible 5 ndio best kuliko zote
Nimeanza na za zamani kwanza. Halafu kuna mtu anasema hii ya sasa hivi ni mbaya na anaipa rate ya 3/10Mission Impossible bado tu hd??
Hii ni takataka, Hakuna Movie hapo, upotevu wa bando tuu + MudaLimetoka leo mimi nimedownload bado sijaangaliaView attachment 2708528
Halafu eti wanaplan new projects 😁😁😁Hii ni takataka, Hakuna Movie hapo, upotevu wa bando tuu + Muda
Ghost protocol ni[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Nimeanza na za zamani kwanza. Halafu kuna mtu anasema hii ya sasa hivi ni mbaya na anaipa rate ya 3/10View attachment 2709177
Stephen king the father of horrorSAW 2023 COMING SOON.
achana na hizo from zenu
kwnye TRUE-LIFE DRAMAS na LOVE STORYVijana tusiwatenganishe wazazi wetu! Tuwaheshimu na kuwathamini huku tukiwajali kwa chochote kidogo tukipatacho:
View attachment 2710529
Nawasihi kama haujawahi kuiona ewe kijana ambae mbeleni ni mzee tafadhali itafute hii ni zawadi na fundisho kubwa mno kwetu.
View attachment 2710531
Fundisho kwetu:
1.KAMWE SIKU ZOTE USIACHE KUTENDA WEMA, wema ni akiba.
2. Tunaishi na wazazi ila daima hatuoni thamani yao
Kuna Yatima wanalia kwa hiyo nafasi ya upendeleo tuliyopewa kuishi na wazazi ambao sisi hatuoni thamani yao.
3. Ewe mzazi siku zote walee watoto wako katika malezi mema coz nao siku moja watakuwa wazazi.
4. Ewe kijana wewe kuwa na huo umri wako, elimu yako, na kila kitu chako basi tambua ni wazazi wako walijinyima ili tu wewe ufanikiwe kuvipata hivyo ulivyo navyo.
Thamini na kutambua mchango wao katika elimu yako. Kazi nzuri na kipato visikufanye uwadharau wazazi wako na kuwaona ni wajinga.
5. Ewe kijana ishi na mumeo / mkeo kwa akili na usipokuwa makini basi atakupoteza kwa kuongozwa na tamaa.
Mke ni nguzo ya mafanikio kwa mumewe.
Mkiishi kwa upendo daima mtafanikiwa kwa lolote mlipangalo.
Mke au mume usiwe sababu ya migogoro katika familia za wengine.
Huyo mume unaemuona hivyo usidhani ameshushwa kutoka Mbinguni bali ni Juhudi na upendo wa wazazi wake.
Tumia akili kuishi na familia yako plus wazazi wako coz bado wana nafasi kubwa katika maisha yako.
6. Mti ili uwe na matunda kule Juu, tambua mizizi yake inapata virutubisho huku chini.
Wazazi ni mizizi yetu daima.
Hii movie imeniliza sana
duh huyu mzee anajua.
itafute hata subtitle ya English tu.
Hautajuta
Sasa rasmi ngoja nikaipakue ole wako sasa nikute ni ya OVYO 😁😁Stephen king the father of horror
mwenyewe anakuambia ule mzigo wa FROM
HAKUNAGA.
Umewezaje kutoboa na hii series? Niliifuta baada ya season 2Ujinga wa series ni huu yaani inaisha unatamani isiishe yaani unajiona kama na wewe ni part of character mmojawapo alieact.
Farewell THE AMERICANS🫡
Mimi nimeimaliza yoteUmewezaje kutoboa na hii series? Niliifuta baada ya season 2