Wewe pale machine wanunue nane wangeziweka wapi,upande wa baharini eneo walilopewa ni la kukaa ssg 7 tu, mbona huongelei upande wa rtg,we unaposikia bandari imefanya vizuri unazani ni tpa? Juzi hapa tumeipita kenya unazani kwa machine za tpa? Usiongee usichokijuaMkuu mwaga data usitukane hoja za kiuchumi ni muhimu ili tujifunze kiliko kutuhumu watu.
Unapumuliwa na Mbowe.Unapumuliwa na Chongolo
Umesoma mkatabaTatizo mnauza,uwekezaji gani usio na kikomo?Halafu Bandari zote jamani.Si bora hata mngewapa Gateways hata 3 tu.
So na airport mnakwenda kumpa Sheikhe. HAYA KILA LENYE KHERI.
Umesoma mkatabaKwenye swala hili mods tafadhalini sana. Mtuache tuongee sio vinginevyo
Tumevurugwa
Serikali isitishe hili zoezi la uuzwaji wa Bandari
Tusitafutane ubaya
Tanganyika ni sasa
.....karogwa tena.Kutokana na kile kinachoendelea kwenye mitandao ya Kijamii kuhusu bandari ya Tanzania imeuzwa, Mbunge wa Geita vijijini Joseph Musukuma leo amezungumza na wanahabari akiwa Jijini Dodoma
Ebu jitambue kidogo tu!.kwa kurejea mikataba mibovu tuliyowahi kuingizwa mkenge kama nchi.Jibuni hoja zake kiuchumi kasema badala ya kukusanya 7bn wanapanda 18bn ajira kutoka 1200 kuenda 75000, hojini hivyo kuliko kipiga kelele
Kwani mtu akiwa na hela hahongwi? Huyu asitubabaishe na story zake. Kama hajahongwa mbona hakanushi tuhuma?, ameshikilia tu mimi nina apartments, sijui nina nini. Mbona hajatuambia kwa nini hakuwepo kujadili bajeti ya nishati?Kutokana na kile kinachoendelea kwenye mitandao ya Kijamii kuhusu bandari ya Tanzania imeuzwa, Mbunge wa Geita vijijini Joseph Musukuma leo amezungumza na wanahabari akiwa Jijini Dodoma
Kwa sababu ndiyo waalimu ndiyo wanachukua takribani 50% ya watumishi wote wa serikali.Ati umelipa ushuru wa milioni Mia moja na kidogo ili walimu wasikose mshahara! Kwani nchi hii waajiriwa wa serikali ni walimu tu? Na kwani awatolee mfano na utetezi wake uliokosa mtiririko wa hoja?
Na kusema kuwa bunge ni serikali alimaanisha au? Ccm mnaiangamiza nchi kwa kuruhusu wananchi kuwakilishwa na wenye uelewa duni!
Wewe huo mkataba umeuona?.Hakuna aliyekataa ubinafshaji tatizo vipengele vya mkataba hamuelewi wapi???
"muulize marehemu Donald Max" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu jamaa ana hela chafu sana.
Unayajua makarasha? Unaijua migodi?
Huenda unatoka sehemu ambazo kwao hela wanazipata kwa style ingine tena chache.
Msukuma alikuwa sio mbunge wala mwenyekiti wa ccm Geita alikuwa antembea na msafara wa gari Rais akasome muulize marehemu Donald Max
Hajajibu hoja vizuri,Kutokana na kile kinachoendelea kwenye mitandao ya Kijamii kuhusu bandari ya Tanzania imeuzwa, Mbunge wa Geita vijijini Joseph Musukuma leo amezungumza na wanahabari akiwa Jijini Dodoma
UFAFANUZI SAFI KABISA NI WAKATI SASA WAANDISHI WA HABARI WAKAPELEKWA HUKO NA KURUSHWA LIVES, ILI WATANZANIA WAJIONEE WENYEWE, PIA VIFUNGU VYOTE VYENYE UKAKASI VIONDOLEWA KATIKA MKATABA UTAKAOANDIKWA.Kutokana na kile kinachoendelea kwenye mitandao ya Kijamii kuhusu bandari ya Tanzania imeuzwa, Mbunge wa Geita vijijini Joseph Musukuma leo amezungumza na wanahabari akiwa Jijini Dodoma
Ukoo wako unamiliki mabasi ya hivyo mangapi kwani?.Musukuma hana utajiri anaojitapa kuwa nao,anamiliki mabasi chakavu anayonunua kutoka kwa Zakaria Express.
Muuza miwa mchawi huyu!
Kishanogewa rushwa!
Watu wanapiga kelele kuhusu vipengele vilivyopo kwenye huo mkataba.
Musukuma anapiga porojo bila kuainisha hivyo vipengele!
Na yeye atutajie ni kifungu gani kimetamka kwamba DP World wataleta mitambo hamsini ya kushushia kontena!
Huyu ni mla rushwa hatari kwa usalama wa taifa.
Albert Einstein: Akili ni kile kinachobakia baada ya kuondoa yote uliyofundishwa darasani. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duuh, kuna Mahali Walokole wamezungumzia udini na kupinga chochote kwa minajili ya kidini?
Hebu tuwe kama wasomi, tupinge jambo kwa hoja ya msingi
Kinachopingwa sio ubinafsishaji, ila terms zilizopo katika mkataba, unawezaje kubinafsisha bandari kwa mgeni ambaye hukuwahi kufanya nae kazi tena kwa miaka 100?
Albert Einstein:"AKILI NI KILE ANACHOBAKI NACHO MTU BAADA YA KUONDOA YALE ALIYOFUNDISHWA DARASANI"Wacha ujinga wewe mwehu. Kwamba leo ndio umeanza kusikia wanasiasa wakiongea na kutaja taja hizo namba?
Kwanza nimeliona lijinga limesema "TICTS ipo bandarini miaka 30 sasa" hapo hapo limejisahau sentensi inayofuata linasema "ndani ya hiyo miaka 20 wamenunua machine 7 tu."
Sasa mwehu kama huyo anaweza kumwambia nini mtu anaejitambua?
Sasa Kuna hoja ngumu hapa!?..unaelewa chochote kuhusu escrow, dowans na Richmond!?..unaijua kweli mikataba mibovu ya nchi hii wewe au unaenda na vibe za media!?..fuatililia bunge ujue kuhusu uwekezaji unaotakiwa kufanya bandari,siyo kubeba maneno ya malaya mange kimambiKwani nchi hii mara ngapi imeingizwa chaka na mikataba fake? Maana kama mabwiga basi ndio watakuwa hao walio andaa Dowans,Escrow, Richmond nk na ndio inawezekana wakawa ndio hawa hawa kwenye bandari.
Kweli wajinga wengi sana nchi hii na ndio maana hao mbwiga wakaingiza chaka nchi hii kwenye Escrow, Dowans na Richmond.
Ila kumbuka hata saa mbovu kuna mda inapatia majira, pili kwenye malumbano ya hoja jifunze kuheshimu watu sometimes unaweza hata kujifunza kutokea kwa huyo unaye muona mjinga.
Train your brain kuhimili hoja ngumu hata kama kwenye swala hilo kuna maslahi yako na si kuanza kuprovoke watu.
Kawa rafiki wa mgalatia kisa mwarabu achukue bandari πππHee bi mchele povu lote hili kisa musukuma hivi sio kafiri yule ama maslah ya waarabu kwanza ukafiri wake baadae ee
Kwani Richmond, Dowans na Richmond kwako ni mifano ya mikataba mizuri?Sasa Kuna hoja ngumu hapa!?..unaelewa chochote kuhusu escrow, dowans na Richmond!?..unaijua kweli mikataba mibovu ya nchi hii wewe au unaenda na vibe za media!?..fuatililia bunge ujue kuhusu uwekezaji unaotakiwa kufanya bandari,siyo kubeba maneno ya malaya mange kimambi