Musukuma afunguka Mazito Mkataba wa Bandari/Sijajongwa Gari, Nina Hela

Haka kajamaa kanatutishia hela za ndagu? halafu anaongelea efficiency ya bandari jambo ambalo TPA na kampuni za kitanzania zinaweza kufanya kuliko ku compromise usalama wa nchi kiulinzi na kiuchumi......unaendaje kumilikisha wageni malango ya nchi, huu ni uzwazwa.​
 
Mimi nimeishia aliposema "TUMWACHE RAIS ATIMIZE NDOTO ZAKE".

Hapo imetosha kumtunuku huyu mwehu cheti cha Mirembe.
Ndoto zake za ku-liberalize badari na kuongeza kipata cha bandari kutoka 7bn kwa mwaka kuenda 18bn, wewe umeelewa je hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…