johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
😄😄Unamuonea tu "dokita" wa watu!🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😄😄Unamuonea tu "dokita" wa watu!🤔
Hapo Ufipa st mnauza nini?CCM imebakiza kuuza Wananchi tu.
Huamini kama.tumepata Uhuru?Msukuma anasema kweli, tunafahamu wapingajili humu wanapinga neno "Waarabu" na siyo maendeleo.
Waoingaji mnajisahau kuwa hata hilo neno "bandari" bila ya Waarabu lisengekuwepo.
Kama hilo halitoshi, tusisahau kuwa hata jiji hili, ambalo toka lilipoanzishwa mpaka sasa halijaacha kukuwa na leo hii ni kitovu cha biashara Afrika nashariki na ya kati linaitwa Dar es Salaam.
Dar es Salaam ni jina la Kiarabu 100% tena si jina tu, kinatoka ndani ya Qur'an.
Jiji hili lina historia kubwa na Waarabu na sasa ni wakati muafaka waliendeleze.
Hatuwezi kuibadili historia ya kweli bali tunaweza kuipotosha.
Mwenye chuki na Waarabu ajinyonge.
Kazi ya serikali ni ipi? Na je serikali ilishindwa kutumiza majukumu yake kinaachofata ni kipi?Huu mkataba tunaipinga kwa hoja zenye kueleweka lakini hatujaweka wazi nini haswa suluhisho la tija ndogo ya pale bandarini.
Tuendelee kupoteza wateja wanaohamia Msumbiji na Mombasa kwa kuendelea na kufanya kazi kwa mazoea au tubadilike mazima kwa lengo la ukuaji halisi wa uchumi!?.
Wengi wanaweza kukosoa lakini hawaji na hoja za nini kifanyike kutoka hapa tulipo. Bandari yetu imekuwa ni chanzo cha upigaji wa kudumu, badala ya kuisaidia nchi imekuwa mzigo kwa uchumi wetu.
Tuje na fikra mpya sio kuishia kukosoa uwekezaji wakati tatizo lipo pale pale.
Kama ni hivyo unaamini vipi huo mkataba na waarabu ni mzuri? Huoni kama napo rushwa na wizi umetumika kusapa hao waarabu?Tatizo la Watanzania ni wizi wa mali zao huku wanajiita wasomi kwa hiyo Mwarabu atapiga viboko wezi mpaka wakome kuiba bassi
Hili Taifa limeingizwa kwenye madeni ya hovyo mikataba ya hovyo wizi na matumizi mabaya ya rasilimali na CCM ndio adui wa Taifa hili.Hapo Ufipa st mnauza nini?
SawqGeita imebaki mashimo matupu halafu anaibuka Msukuma na Baiskeli yake kutetea Bandari ya DSM
Ulinzi wa rasilimali huanzia Jimboni, Wilayani, Mkoani ndio Uje taifani
Watu kama Msukuma ndio huvuruga mambo ya msingi yanapokuwa Kwenye Mjadala wenye nia Njema
Mtu ana PhD ya mchongo kabisa yaani!
Huamini kwamba uhuru hauifuti historia?Huamini kama.tumepata Uhuru?
Hizi ni changamoto nzuri za nchi yenye amani. Kumbuka hayo mataifa makubwa yana uhuru una miaka zaidi ya 200 lakini kuna mahali panaboreshwa bado.Kazi ya serikali ni ipi? Na je serikali ilishindwa kutumiza majukumu yake kinaachofata ni kipi?
Siku zote mnaisifia humu serikali kufanya kazi nzuri, Leo mnakataa kuna sehemu haufanyi vizuri.
Sheria zipo wazi, dola ipo, serikali ipo. Hamjui mfanye nini?
Huyu alimwingiza Chaka Lowassa kisha akamtosa
Akaja kumuingiza Chaka Magufuli
Mtu aliyekula nyama ya mtu huwa haachi
Tujulize hivi trillion 2 hatuna? Hii si ni kuhairisha tu vitu vichache tunaipata. Tatizo la Tanzania sio pesa, bali ni matumizi na vipaumbele
Jana nimemsikia msigwa anasema Hawa wanakuja kuweka trillion 4, ambayo sisi tusingeweza
Msigwa anashindwa kuelewa Kuna matumizi mengi tunafanya na yanapotea zaidi ya hiyo trillion 4
Aise!Mbona mnatutoa kwenye reli??
“Bandari yetu ipo Salama kutoweka kikomo cha ubinafsishaji haimaanishi ni muda mrefu” Spika wa BUNGEView attachment 2649815
JPM alituonyesha tunaweza, lakini hawa ndugu wengine wanaturudisha utumwani...SGR ni trilioni ngapi tushindwe ya bandari...Pesa huwa zipo bank na siyo kwingine...Chamsingi tuondoe hao binadamu ambao tangu enzi wanaendeleza nepotiam kwa nafasi critical ndiyo sababu hawana ubunifu zaidi ya kufisadi mali ya watanzaniaTujulize hivi trillion 2 hatuna? Hii si ni kuhairisha tu vitu vichache tunaipata. Tatizo la Tanzania sio pesa, bali ni matumizi na vipaumbele
Jana nimemsikia msigwa anasema Hawa wanakuja kuweka trillion 4, ambayo sisi tusingeweza
Msigwa anashindwa kuelewa Kuna matumizi mengi tunafanya na yanapotea zaidi ya hiyo trillion 4