Musukuma: Nilikuwa bingwa wa kutorosha dhahabu. Alifilisika na kuuza ngano 'inayoharibika'

Tukisema CCM inajazwa na Wezi na wahujumu uchumi ili kulinda utajiri haramu muwe mnaelewa. Huyu ni mmoja tu kamtaja mhujumu uchumi mwenzie. Bado yule wa Sengerema, bado wa Bunda hajasema.
 
Ndiyo maana yake na utashanga wakuu wa usalama wa taifa awalioni ilo jambo na kulitafutia ufumbuzi
 
Sijawahi iba wala dhulumu
Faulo za hapa na pale kawaida

Tatizo lako we hujaelewa point
Yangu,huwezi ukawa public figure
Ukaanza kusema,oh mm nliuza unga, niliiba,nliuwa,nilipora
Huo ni ujinga

Ova
Faulo za hapa na pale ni sawa na msukuma alivyokwepa kodi.

Hakumwibia mtu bali ulikwepa kodi tu.

Kisheria ni wizi lakini hajamwibia mtu
 
Mmmh kilo 50 hapo kanidanganya aisee
Na umbo Lake hilo
 
Sijawahi iba wala dhulumu
Faulo za hapa na pale kawaida

Tatizo lako we hujaelewa point
Yangu,huwezi ukawa public figure
Ukaanza kusema,oh mm nliuza unga, niliiba,nliuwa,nilipora
Huo ni ujinga

Ova
+1
Kuna misconduct haitakiwi ziwe hafharani kwa piblic figure kama mbunge , hata kama haiwezekani kukamatwa kutokana na ushahidi hautakuwepo ila msukuma alitakiwa akae kimya kwa matendo take ovu ya nyuma .
 
Hata akishtakiwa ushahidi wa sauti hauwezi kumfungs.
Hata hivyo Watanzanis wote ni wezi kuanzia wewe hadi mkuu kabisa nyumba nyeupe
Ninyi wezi kuhararisha wizi wenu ndii mnasema Watanzania wote ni Wezi?
 
Mbona Msukuma kaongea tu kama mwana CCM halisi...je uko tayari kuwakamata CCM wote kuanzia mkubwa kabisa hadi mdogo kabisa? Mbona kazi unayo!
Huwezi kumkamata kwa sababu ushaidi haupo, ila haileti picha nzuri kwa ccm na watu wao .
 
Siri Ya DP World kama alihongwa, ataisema Mwaka 2033. Halafu hao ndio wau tunawaamini eti ......
Mkuu hatuwaamini, bali inatumika nguvu ya dola kushurutisha tuwaamini, na hata tusipowaamini hakuna kitu tutawafanya.
 
+1
Kuna misconduct haitakiwi ziwe hafharani kwa piblic figure kama mbunge , hata kama haiwezekani kukamatwa kutokana na ushahidi hautakuwepo ila msukuma alitakiwa akae kimya kwa matendo take ovu ya nyuma .
Ndicho nlikuwa namwambia mkuu Glenn kuna mambo mengine hata kama ulifanya
Kwa wenzetu hapo angeshavuliwa madaraka,ila kibongobongo hapo anaonekana shujaaa

Ova
 
Ndiyo tatizo ccm ni mavii [emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]
 
Hata kama nikicheza faulo siwezi

Zungumza mbele ya kadamnasi

Ova
🤣🤣🤣
Braza hapa Tanzania hakuna wa kumsema msukuma basi tu tunajifyatua.
Jamaa ni mkweli sana yuko kama wazungu.

Nikushauri hebu tafuta mazungumzo yake kwanza msikilize ndio urudi humu.
 
Ushahidi utautoa wapi
 
Jinai haipotei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…