min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Kabisa hasa wale wabunge wa viti maalumu , halafu karibu zote ni pisi kali sijui kwanini asee🤔Ulitaka watu wale wapi? 😹😹
Kwann usiwaseme wabunge ndio mizigo pale bungeni?? Min acha roho mbaya 🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa hasa wale wabunge wa viti maalumu , halafu karibu zote ni pisi kali sijui kwanini asee🤔Ulitaka watu wale wapi? 😹😹
Kwann usiwaseme wabunge ndio mizigo pale bungeni?? Min acha roho mbaya 🤣
Bunge liwe na mbunge mmoja kila mkoa, hao viti maalumu ulikuwa ni mkakati wao wa kusogeza viburudisho vyao karibu..!! 😹Kabisa hasa wale wabunge wa viti maalumu , halafu karibu zote ni pisi kali sijui kwanini asee🤔
Kila jimbo , na zile pisi za viti maalumu zimenyooka kichizi kumbe zipo kimkakati ? AseeeeBunge liwe na mbunge mmoja kila mkoa, hao viti maalumu ulikuwa ni mkakati wao wa kusogeza viburudisho vyao karibu..!! 😹
Duh mv kilindoni umenikumbusha safari za kwenda mafia kutokea nyamisatiKwa hiyo wanazidiwa hata na MV - KILINDONI, utoaji huduma za ndani ya chombo 🤔🤔??
Bunge linawatu wa ovyoHawa ndo watunga sera za nchi na kutunga sheria,hakika waafrika tunapaswa kujitafakari kuhusu tabia zetu.
Huku ndio pa kurekebishwa sio kwa hao wauza chaiNi kama vile kuwa na mkuu wa mkoa na wawilaya na wakurugezi wakati kazi zote hizo zingemalizwa na mtu mmoja tu.
Viti maalum ni wewe tu kulegeza pupi chap unapewa ukapige meza bungeni 😹😹
Ndugu Sio kitu kinaigwa kama kilivyo!Uliwahi kwenda China ukapanda SGR kutoka Beijing kwenda Gouzhuoh zaidi ya Kms 3000?
Kinachofanyika Tanzania SGR ni uhujumu uchumi na musukuma Yuko dawa 100%
Una kichaa wewe Yani ulipe express train Kwa 120,000 halafu uende kula behewa la 12 kutoka behewa la 3 ambalo umekaaYuko sawa. Sema kuna wachangiaji humu wanakurupuka kama Kasongo. Amesema liwepo behewa la chakula anayehitaji aende akale siyo awepo mtu wa kupita kuuliza watu kama wanataka kula. Misuse of public funds.
Yani unataka mtanzania umuwekee self service.Wewe ndiye una mawazo ya kijima. Umewahi walau kusafiri nje ya Tanzania? Sehemu nyingi sana wameshaondoa zile huduma za kutumia watu na wameweka self service. Treni zinakuwa na automatic machines na unanunua chochote unachotaka. Kwa sababu sisi bado tuko nyuma, ingekuwa vizuri wakaweka mabehewa ambayo watu wanakwenda kununua wenyewe. Kitu kama usafi wa vyoo watu wawili wanatosha kufanya shughuli au wanaocheki tiketi. Bila kubana matumizi treni zitakufa.
Yes mkuu, kwa wazee wa kugawa mabusha 😁😁Duh mv kilindoni umenikumbusha safari za kwenda mafia kutokea nyamisati
Ova
Kitu niliacha kusikiliza au kutazama ni bunge halina mvuto,bunge lilikuwa Lile la wapinzani,lkn sas hv ni hatari Sana hio muda Bora nikasake hata mkateMbunge wa Geita Vijijini Joseph Kasheku Musukuma amesema haina haja ya kuweka wahudumu wanaotoa huduma za ndani ya treni ya Mwendokasi (SGR) ili kuepuka shirika kupata hasara kwakuwa ndio kwanza mradi huo umeaanza hivyo haina haja ya kuweka gharama
Msukuma asiwe na wasiwasi, wale wahudumu wanajitolea bure, naambiwa wapo field, eti kwao wanajilipa kwa kubadilishana namba na abiria!!Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Kasheku Musukuma amesema haina haja ya kuweka wahudumu wanaotoa huduma za ndani ya treni ya Mwendokasi (SGR) ili kuepuka shirika kupata hasara kwakuwa ndio kwanza mradi huo umeaanza hivyo haina haja ya kuweka gharama kubwa za uendeshaji.
"Hakuna haja ya kuwa na wahudumu wanaopita kuuliza abiria kama wanakunywa chai au kahawa. Treni inapaswa kuwa na behewa rasmi la chakula, kama ilivyo kwenye huduma za kimataifa, ambapo abiria ana uhuru wa kwenda kununua chakula au kinywaji bila kusubiri kuulizwa."
Mbunge Musukuma ameyasema hayo leo Februari 03, 2025 Bungeni Jijini Dodoma wakati akichangia hoja ya Kamati za Kudumu za Bunge za Miundombinu na Nishati na Madini
Business oriented mindsMbunge wa Geita Vijijini Joseph Kasheku Musukuma amesema haina haja ya kuweka wahudumu wanaotoa huduma za ndani ya treni ya Mwendokasi (SGR) ili kuepuka shirika kupata hasara kwakuwa ndio kwanza mradi huo umeaanza hivyo haina haja ya kuweka gharama kubwa za uendeshaji.
"Hakuna haja ya kuwa na wahudumu wanaopita kuuliza abiria kama wanakunywa chai au kahawa. Treni inapaswa kuwa na behewa rasmi la chakula, kama ilivyo kwenye huduma za kimataifa, ambapo abiria ana uhuru wa kwenda kununua chakula au kinywaji bila kusubiri kuulizwa."
Mbunge Musukuma ameyasema hayo leo Februari 03, 2025 Bungeni Jijini Dodoma wakati akichangia hoja ya Kamati za Kudumu za Bunge za Miundombinu na Nishati na Madini