Musukuma: SGR inawahudumu kama Ndege, tutapata hasara waondolewe

Musukuma: SGR inawahudumu kama Ndege, tutapata hasara waondolewe

Hoja yake ilikataliwa na mtoa hoja kwa kigezo kuwa asiturudishe nyuma hizi ni zama za kujali wateja na kuboresha huduma.
 
Bro hio keki ya Taifa anataka ale peke yake? Sasa alitaka hao kina dada waje kudanga mtaani kusiko na ajira ama vipi
 
Na yeye msukuma kuwa hapo mjengoni anamaliza pesa za walipa kodi, angemwacha mpina angetosha kuwakilisha hadi jimboni kwake.
 
Msukuma asiwe na wasiwasi, wale wahudumu wanajitolea bure, naambiwa wapo field, eti kwao wanajilipa kwa kubadilishana namba na abiria!!

Nimepita na mmoja tayari.
Asante sana Mkuu kwa kunipa code. Namimi nitasafiri makusudi ili nipate kahudumu kamoja ka bariiiidi nijipimie. 🤣
 
Ndugu Sio kitu kinaigwa kama kilivyo!

Mabasi yetu ya mikoani hayakuwa a wahudumu, wahudumu wameanza miaka miwili iliyopita! Sasa hivi ni lazima kwa nini?

Nyie mnatumiwa na wenye mabasi ili kuua SGR. Ikishaanza kuwa chafu haina uangalizi, mtaikimbia itajiwndesja kwa hasara!

Ndege Zina wahudumu wangapi?

Kwa nini tusindoe wahudumu kwenye ndege?

Umeshawahi panda first class u second class ya international wewe msukuma? I bet not!
Kila seat ina dedicated hostess!

Hizo ni necessary running cost, toeni ushamba wenu hapa!
Umeanza kupanda mabasi juzi we mzee
 
Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Kasheku Musukuma amesema haina haja ya kuweka wahudumu wanaotoa huduma za ndani ya treni ya Mwendokasi (SGR) ili kuepuka shirika kupata hasara kwakuwa ndio kwanza mradi huo umeaanza hivyo haina haja ya kuweka gharama kubwa za uendeshaji.

"Hakuna haja ya kuwa na wahudumu wanaopita kuuliza abiria kama wanakunywa chai au kahawa. Treni inapaswa kuwa na behewa rasmi la chakula, kama ilivyo kwenye huduma za kimataifa, ambapo abiria ana uhuru wa kwenda kununua chakula au kinywaji bila kusubiri kuulizwa."

Mbunge Musukuma ameyasema hayo leo Februari 03, 2025 Bungeni Jijini Dodoma wakati akichangia hoja ya Kamati za Kudumu za Bunge za Miundombinu na Nishati na Madini

Seng*ee limetumwa kuhujumu sgr
 
Yuko sawa. Sema kuna wachangiaji humu wanakurupuka kama Kasongo. Amesema liwepo behewa la chakula anayehitaji aende akale siyo awepo mtu wa kupita kuuliza watu kama wanataka kula. Misuse of public funds.
Mkuu kipi ni rahisi mhudumu kupita kuuliza au abiria wengi kati ya 900 kuinuka kwenda huko lilipo hilo behewa la misosi(buffet car)?
Haoni kuwa kutakuwa na gharama extra kuagiza buffet car kwa kila route?
 
Back
Top Bottom