Musukuma: SGR inawahudumu kama Ndege, tutapata hasara waondolewe

Hoja yake ilikataliwa na mtoa hoja kwa kigezo kuwa asiturudishe nyuma hizi ni zama za kujali wateja na kuboresha huduma.
 
Bro hio keki ya Taifa anataka ale peke yake? Sasa alitaka hao kina dada waje kudanga mtaani kusiko na ajira ama vipi
 
Na yeye msukuma kuwa hapo mjengoni anamaliza pesa za walipa kodi, angemwacha mpina angetosha kuwakilisha hadi jimboni kwake.
 
Msukuma asiwe na wasiwasi, wale wahudumu wanajitolea bure, naambiwa wapo field, eti kwao wanajilipa kwa kubadilishana namba na abiria!!

Nimepita na mmoja tayari.
Asante sana Mkuu kwa kunipa code. Namimi nitasafiri makusudi ili nipate kahudumu kamoja ka bariiiidi nijipimie. 🤣
 
Umeanza kupanda mabasi juzi we mzee
 
Seng*ee limetumwa kuhujumu sgr
 
Yuko sawa. Sema kuna wachangiaji humu wanakurupuka kama Kasongo. Amesema liwepo behewa la chakula anayehitaji aende akale siyo awepo mtu wa kupita kuuliza watu kama wanataka kula. Misuse of public funds.
Mkuu kipi ni rahisi mhudumu kupita kuuliza au abiria wengi kati ya 900 kuinuka kwenda huko lilipo hilo behewa la misosi(buffet car)?
Haoni kuwa kutakuwa na gharama extra kuagiza buffet car kwa kila route?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…