PreGE2025 Musukuma: Wakuu wa Wilaya wanaotaka ubunge, Bungeni hakuna hela

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
"Umesema kuhusu wakuu wa mikoa, wakurugenzi, Makatibu Wakuu. Nimeona watu wengi wameacha kazi hadi Makatibu wakuu. Nataka kuwaambia na sema uwazi. Ubunge sio kama watu wanavyotafakari. Watu wanasema ukiwa Mbunge kuna hela za bure utapata. "Itakuwa tajiri mshahara ni mkubwa. Sijaona hizo hela, bungeni, zaidi nimeona kuna umaskini tu.

Zaidi umakuja na moyo wa kuwasaidia watu. Kwa sababu zile hela mgawanyiko wake ni mkubwa sana. "Sio zako. Unaweza ukawa unalipwa mshahara mkubwa Mil. 3. Unakutana na matatizo. Nina watu kama Sita wananisubiri wamefiwa wanataka msaada kusafirisha. Bado tunafungua shule. Yaani zile hela zote zinaisha kwenye matumizi. Hata familia huwezi kuwapa hela. "Hata ukiwa na pesa Ukija bungeni.

Unaweza kumaliza miaka mitano na ukatumia fedha zako. Na wengine wanafirisika. Ndio maana unaona watu wengi wameacha. Ukija na mawazo Ukisema bungeni kuna hela. "Ndio maana siamini kama bungeni kuna hela na nyinyi wenyewe mtanisaidia na Watanzania kwa sababu sisi sio wabunge peke yetu"- Joseph Kasheku 'Musukuma', Mbunge wa Geita.
images (1).jpeg

Chanzo:Clouds Tv
 
Amenikumbusha kitabu Cha a man of the people, pale waziri Chifu Nanga alipo mwambia mwl, kwamba teaching is a noble profession and politics is a dirty game, if anyone ask you you to become a minister run away because that is a big burden to bear. Wakati huo yeye Chief Nanga akifanya faulo Ili aendelee kuwa waziri😂😂😂😂
 
View attachment 3385779
Chanzo:Clouds Tv
Peter Serukamba amewahi kiwa Mbunge na Mkuu wa Mkoa. Anajua wapi kuna maslahi kati ya sehemu hizo mbili. Msukuma ni tapeli, hataki kuwa challenged.
 
Amenikumbusha kitabu Cha a man of the people, pale waziri Chifu Nanga alipo mwambia mwl, kwamba teaching is a noble profession and politics is a dirty game, if anyone ask you you to become a minister run away because that is a big burden to bear. Wakati huo yeye Chief Nanga akifanya faulo Ili aendelee kuwa waziri😂😂😂😂
Anafanya watu ni wapumbavu
 
Back
Top Bottom