PreGE2025 Musukuma: Wakuu wa Wilaya wanaotaka ubunge, Bungeni hakuna hela

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
"Umesema kuhusu wakuu wa mikoa, wakurugenzi, Makatibu Wakuu. Nimeona watu wengi wameacha kazi hadi Makatibu wakuu. Nataka kuwaambia na sema uwazi. Ubunge sio kama watu wanavyotafakari. Watu wanasema ukiwa Mbunge kuna hela za bure utapata. "Itakuwa tajiri mshahara ni mkubwa. Sijaona hizo hela, bungeni, zaidi nimeona kuna umaskini tu.

Zaidi umakuja na moyo wa kuwasaidia watu. Kwa sababu zile hela mgawanyiko wake ni mkubwa sana. "Sio zako. Unaweza ukawa unalipwa mshahara mkubwa Mil. 3. Unakutana na matatizo. Nina watu kama Sita wananisubiri wamefiwa wanataka msaada kusafirisha. Bado tunafungua shule. Yaani zile hela zote zinaisha kwenye matumizi. Hata familia huwezi kuwapa hela. "Hata ukiwa na pesa Ukija bungeni.

Unaweza kumaliza miaka mitano na ukatumia fedha zako. Na wengine wanafirisika. Ndio maana unaona watu wengi wameacha. Ukija na mawazo Ukisema bungeni kuna hela. "Ndio maana siamini kama bungeni kuna hela na nyinyi wenyewe mtanisaidia na Watanzania kwa sababu sisi sio wabunge peke yetu"- Joseph Kasheku 'Musukuma', Mbunge wa Geita.
View attachment 3385779
Chanzo:Clouds Tv
Kwani lazima kusaidia watu?
 
Sawa hakuna hela sasa na yeye atoke bungeni aje mtaani,na sisi twende bungeni
 
Wanataka Guarantee ya kula posho na mshahara miaka mi 5 maana nafasi za kuteuliwa hawana uhakika nazo
 
Kuna siku mwaka 2012 nilikuwa nimerudi Tanzania likizo. Nikawa natembea kuona mji. Natoka zangu Zanzibar nimeshuka bandarini Forodhani Dar. Nikamwambia dereva aliyekuja kunipokea arudi na mizigo yangu nyumbani, mimi nitakuja mwenyewe.

Nilikuwa nataka kuuona na kuukagua mji wangu mwenyewe nikiwa peke yangu, huku nikitembea kwa miguu, baada ya kukaa ughaibuni kwa miaka 10 mfululizo bila kurudi likizo.

Nikatembea hapo mjini kutoka Forodhani nikakatisha mitaa nikienda maskani Upanga. Nikajikuta nipo Lumumba. Nikasema hapa nikipata sehemu ya kupata juisi na chakula itakuwa vizuri sana.

Naam, kama nilikuwa nimeomba dua iliyojibiwa vile, mkabala na ofisi ya CCM nikaona kuna mgahawa mkubwa. Nikaingia nipate chakula.

Sasa nimekaa pale Lumumba kwenye mgahawa nimeagiza chakula na juisi, meza na nyuma yangu walikuwa wamekaa watu wawili, kwa mazungumzo yao ilionekana wale ni wabunge wa CCM. Mmoja wao alikuwa analalamika kuwa ubunge hauna maslahi kama alivyofikiri. Kifupi alisema katumia pesa nyingi za biashara zake kujitosa kwenye kampeni za ubunge, lakini haoni atakavyozirudisha. Akasema , kwa msingi huo, hategemei kugombea ubunge tena kwenye uchaguzi uliofuata. Mwenzake naye alionekana kukubaliana naye na kulalamika kuwa ubunge hauna faida.

Niliwashangaa sana kusikia wameenda kwenye ubunge kutafuta pesa.

Nilipata maswali mengi sana kuhusu maadili ya hawa wabunge, haja ya kuwa na sheria za Campaign Financing zenye kutekelezwa na zenye meno, haja ya kupunguza mishahara na marupurupu ya wabunge ili watu wasitake kuwa wabunge kupata pesa bali kutumikia watu, na matatizo mengine mengi yanayoendana na haya.

Ni miaka 13 imepita sasa, lakini naona matatizo yale bado yapo pale pale.
 
Wanajaribu kuwahadaa wanao taka kuchukua nafasi zao anadhani hao anao waambia hivyo ni mazuzu kama alivyo yeye 💩💩💩💩💩
 
"Umesema kuhusu wakuu wa mikoa, wakurugenzi, Makatibu Wakuu. Nimeona watu wengi wameacha kazi hadi Makatibu wakuu. Nataka kuwaambia na sema uwazi. Ubunge sio kama watu wanavyotafakari. Watu wanasema ukiwa Mbunge kuna hela za bure utapata.

"Sijaona hizo hela, bungeni, zaidi nimeona kuna umaskini tu. Zaidi unakuwa na moyo wa kuwasaidia watu. Kwa sababu zile hela mgawanyiko wake ni mkubwa sana.

"Sio zako. Unaweza ukawa unalipwa mshahara mkubwa Mil. 3. Unakutana na matatizo kibao. Nina watu kama Sita wananisubiri wamefiwa wanataka msaada kusafirisha. Bado tunafungua shule. Yaani zile hela zote zinaisha kwenye matumizi. Hata familia huwezi kuwapa hela.

"Hata ukiwa na pesa ukija bungeni. Unaweza kumaliza miaka mitano na ukatumia fedha zako. Na wengine wanafirisika. Ndio maana unaona watu wengi wameacha. Ukija na mawazo ukisema bungeni kuna hela.

"Ndio maana siamini kama bungeni kuna hela na nyinyi wenyewe mtanisaidia na Watanzania kwa sababu sisi sio wabunge peke yetu"- Joseph Kasheku 'Musukuma', Mbunge wa Geita.
 
"Umesema kuhusu wakuu wa mikoa, wakurugenzi, Makatibu Wakuu. Nimeona watu wengi wameacha kazi hadi Makatibu wakuu. Nataka kuwaambia na sema uwazi. Ubunge sio kama watu wanavyotafakari. Watu wanasema ukiwa Mbunge kuna hela za bure utapata. "Itakuwa tajiri mshahara ni mkubwa. Sijaona hizo hela, bungeni, zaidi nimeona kuna umaskini tu.

Zaidi umakuja na moyo wa kuwasaidia watu. Kwa sababu zile hela mgawanyiko wake ni mkubwa sana. "Sio zako. Unaweza ukawa unalipwa mshahara mkubwa Mil. 3. Unakutana na matatizo. Nina watu kama Sita wananisubiri wamefiwa wanataka msaada kusafirisha. Bado tunafungua shule. Yaani zile hela zote zinaisha kwenye matumizi. Hata familia huwezi kuwapa hela. "Hata ukiwa na pesa Ukija bungeni.

Unaweza kumaliza miaka mitano na ukatumia fedha zako. Na wengine wanafirisika. Ndio maana unaona watu wengi wameacha. Ukija na mawazo Ukisema bungeni kuna hela. "Ndio maana siamini kama bungeni kuna hela na nyinyi wenyewe mtanisaidia na Watanzania kwa sababu sisi sio wabunge peke yetu"- Joseph Kasheku 'Musukuma', Mbunge wa Geita.
View attachment 3385779
Chanzo:Clouds Tv
Bungeni hakuna HeLa, na, watu wanakaa, huko for 20+ yrs, sehwmu isiyo na pesa,!!!
Basi tokeni, maana, hata, sie ni wazalendo watuache tukakae huko kusiko na pesa
 
"Umesema kuhusu wakuu wa mikoa, wakurugenzi, Makatibu Wakuu. Nimeona watu wengi wameacha kazi hadi Makatibu wakuu. Nataka kuwaambia na sema uwazi. Ubunge sio kama watu wanavyotafakari. Watu wanasema ukiwa Mbunge kuna hela za bure utapata. "Itakuwa tajiri mshahara ni mkubwa. Sijaona hizo hela, bungeni, zaidi nimeona kuna umaskini tu.

Zaidi umakuja na moyo wa kuwasaidia watu. Kwa sababu zile hela mgawanyiko wake ni mkubwa sana. "Sio zako. Unaweza ukawa unalipwa mshahara mkubwa Mil. 3. Unakutana na matatizo. Nina watu kama Sita wananisubiri wamefiwa wanataka msaada kusafirisha. Bado tunafungua shule. Yaani zile hela zote zinaisha kwenye matumizi. Hata familia huwezi kuwapa hela. "Hata ukiwa na pesa Ukija bungeni.

Unaweza kumaliza miaka mitano na ukatumia fedha zako. Na wengine wanafirisika. Ndio maana unaona watu wengi wameacha. Ukija na mawazo Ukisema bungeni kuna hela. "Ndio maana siamini kama bungeni kuna hela na nyinyi wenyewe mtanisaidia na Watanzania kwa sababu sisi sio wabunge peke yetu"- Joseph Kasheku 'Musukuma', Mbunge wa Geita.
View attachment 3385779
Chanzo:Clouds Tv
Jamaa mpumbavu sana anakataza wenzake wasiwe wabunge anasema hakuna hela ila yeye anaenda kugombea tena kwa mara ya nne😅😅
 
Mimi ningepata ubunge kwa kipindi kimoja tu ningebadilisha maisha yangu na ya kizazi kinachokuja
Hii unaweza iwapo hautalihudumia jimbo kabisa. Yaani pesa zote uingize kwenye matumizi yako binafsi. Na usiwe na mpango wa kugombea tena.

Otherwise, anachosema Msukuma ni kweli. Wabunge wanategemewa na watu wengi sana kifedha. Shughuli zote za maendeleo inategemewa mbunge achange. Matatizo binafsi ya wanajimbo, mbunge anategemewa. Fedha inayeyuka yote.

Kiinua mgongo chote kinaisha kwenye kampeni. Watu wanagombea tena na tena kwa sababu siasa na ubunge ni lifestyle.
 
Kama anaona Bungeni hakuna Hela aache basi ubunge.Maana hatua uzalendo wa kuwatumikia watanzania Hana zaidi ya kubwabwaja Kwa kusifu serikali hata kwenye upuuzi
 
Huyu Jamaa anajua kweli kujifyatua fuse
Juzi Kati alikuwa anaomba na wake zao wapewe VIP treatment kama wabunge halafu anasema ubunge hauna dili?
 
Back
Top Bottom