Lakini wewe ulimuunga mkono shetani magufuli, huyu secretary anapitia humo humo mwa magufuli. Ungelimpinga magufuli kwa ushetani wake labda haya yasingelitokea
hapo sasa umeonesha chuki binafsi. Sio utendaji wa serikali.

Kazi ya Mungu haina makosa.
 
hapo sasa umeonesha chuki binafsi. Sio utendaji wa serikali.

Kazi ya Mungu haina makosa.
Wewe si tunakufahamu tangu enzi za magufuli, ndionyie hao hao mliompiga Lisu riasi. Mkakataza asiombewe,asivaliwe Tshirt, CCTV mkaziondoa halafu leo unaandika ujinga eti kazi ya mungu! Stupid!
 
Samahani Sana Kaka, hatukua tumekuelewa! Tumekuelewa sasa! Kwa Sheria Hii Kumbe hata Spika hayuko salama? Ndio maana
 
Nia ya Sheria hii ni nini , kujenga Taifa au ni kubomoa Taifa
 
Kifungu cha 24 na 25 kinatumika vibaya
 
Kwa mujibu wa traffic police mstaafu aliyekuwepo kwenye gari alisema zile bunduki si za polisi wa kawaida bali zinamilikiwa na "watu wasiojulikana" aka "watu wa kitengo' na sheria inawalinda hakuna kesi.
 
Matoke ya sheria hii ndiyo haya tunayoona sasa kwa viongozi wa Chadema kutekwa na kuuwawa kinyama.CCM imeishindwa Chadema sasa inatumia mabavu ya vyombo vya dola kuinyamazisha.
 
.
 
Ina maana hao TISS wakimuua rais hiyo itakuwa kundi gani la makosa? Au ni kuamini kwamba TISS kila siku wanampenda rais kuliko nafsi zao? Au hiyo itatafutiwa nafasi ya kosa jingine; treason?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…