Muswada wa Marekebisho Sheria-2020: Unajua watu hawataweza kudai haki kwa niaba ya Wanyonge? Viongozi wa juu Serikalini hawatashtakiwa moja kwa moja!

Muswada wa Marekebisho Sheria-2020: Unajua watu hawataweza kudai haki kwa niaba ya Wanyonge? Viongozi wa juu Serikalini hawatashtakiwa moja kwa moja!

Ni wakati sasa wa vyombo vya ulinzi na usalama kuingilia kati na kuwaweka sawa hawa watawala.

Maofisa wote wa jeshi, polisi na hata usalama wa taifa hua wanaapa kuilinda na kuitetea katiba ya nchi.

Wakati ndio huu, tukishindwa kumdhibiti huyu Magufuli atazidi kuitumbukiza nchi kwenye udikteta hatua kwa hatua, tutakuja kuamka ikiwa too late.
 
We lack 'Macro-Philosophy' falsafa ya kutu-guide kabla ya kuweka sheria, and thus kila sheria zinazoweka sio tu huwa zinamapungufu bali pia zina hasara kubwa.

Hali hii imekuwa ikitokea hivyo kwa kuwa hatujui lengo halisi la kufanya au kuyahitaji tunayoyahitaji!
 
Hili ni jambo la kuogofya sana linaelekea kutokea nchini, serikali imepeeleka mswada bungeni ili kumuongezea kinga rais na viongozi wengine wa bunge na mahakama kinga dhidi ya kushatakiwa moja kwa moja kwa kukiuka katiba ya nchi.

Huu ni mswada wa ajabu na wa kuogofya sana, mtu aliyeapa kuilinda na kuitetea katiba ya nchi inakuwaje leo anatafuta uhuru wa kuivunja katiba hiyohiyo?

Inakuaje marais wengine wote waliotangulia hawakuona kikwazo chochote kwenye kufuata katiba lakini huyu wa sasa kwake yeye katiba imekua kero kwake?

Ni nini hatma ya nchi yetu ikiwa tutaruhusu ujinga wa namna hii kuendelea kutokea? Unajua hata Adolf Hitler aliingia madarakani kwa njia halali kabisa, lakini taratibu akaanza kujiongezea mamlaka na kuwanyamazisha wote aliowaona kuwa kikwazo. Mwisho wake sote tunajua kilichotokea. Binadamu wote ni corrupt kwa viwango tofauti tofauti, hauwezi kumpa binadamu mwezako mamlaka yasiyo na mipaka, mwisho wake ni mbaya tu.

Wito wangu kwa wote mlioapa kuilinda na kuitetea katiba ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania, wakati wenu ni sasa kufanya hivyo, the republic as we know it is under attack.
 
Magufuli siyo muadilifu na hupenda kuonea na kunyanyasa wasio upande wake.
Hofu hii ndiyo inamfanya ajijengee ngome ya sheria ili akiaacha madaraka asishitakiwe.
Angekuwa msafi asingekuwa na hofu hizi! Anavunja sheria na katiba kwa makusudi ndiyo maana ya yeye kuanza kujiwekea kinga.
 
kiukweli hizi nchi zetu za.kiafrika ili uweze kuwashinda mabeberu huna budi kupingana na katiba ya nchi yako kwenye maslahi yao waliyoyachomeka katika hiyo katiba,
 
Ni wakati sasa wa vyombo vya ulinzi na usalama kuingilia kati na kuwaweka sawa hawa watawala.

Maofisa wote wa jeshi, polisi na hata usalama wa taifa hua wanaapa kuilinda na kuitetea katiba ya nchi.

Wakati ndio huu, tukishindwa kumdhibiti huyu Magufuli atazidi kuitumbukiza nchi kwenye udikteta hatua kwa hatua, tutakuja kuamka ikiwa too late.

Sioni hao viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama wakifanya wajibu wao, maana wao ni sehemu ya huu ukandamizaji na uvunjwaji mkubwa wa katiba. Nadhani kuna malipo fulani wanapata ya upendeleo, hivyo hawana uhakika huyu anayewapa sasa, kama akija mwingine watapata upendeleo binafsi. Na ukifuatilia kwa ukaribu sana utaona viongozi wa hivyo vyombo vya dola ni watii kwa rais kama mtu, na sio rais kwa muongozo wa katiba. Ndio maana chaguzi za nchi hizi zinaharibiwa, wapinzani wa chama cha rais wanafanyiwa ukatili wa wazi, lakini vyombo vya usalama ndio wanakuwa wakwanza kuficha ukatili huo.

Hapa tulipofikia bila kuingia mabarabarani kwa amani sioni nchi yetu kutokuangukia kwenye mauaji ya kutisha. Kuna ghiliba inachezwa kuwa kiongozi huyu ni mcha Mungu kwa kuwaweka viongozi wa dini mbele kwenye shughuli za kitaifa, lakini lengo ni kufunika unyama uliopo na unaopangwa kufanywa. Kama kweli kiongozi huyu ni mcha Mungu, na anafanya mambo mema, ni kipi kinafanya ajiwekee kinga za kibinadamu na sio hizo kinga za Mungu?
 
Saddam, bashiru walikuwa nazo Kinga lakini wakashughulikiwa, Africa ukishakuwa nje ya mfumo unaweza fanywa chochote na aliyepo.Uombe tu awe wa upande wako ndio salama yako.Akiingia si wa upande wako ni lzm umsalie mtume
 
Kama tunafanya kwa nia njema na kwa mapenzi ya dhati kwa Tanzania na Watanzania,
Ki ukweli hakuna haja ya kujiwekea kinga yoyote, maamuzi yetu, kazi zetu zitoshe kutukinga na kutusafisha maana tunania njema na tunakubalika pia.

Kinga tuwaachie wanaotaka ubabe na utukufu kama kina Kim wa north korea
Ndio hapo sasa, unasema unafanya mambo mema kwa maslahi ya nchi alafu unahaha kujiwekea kinga.
 
Magufuli siyo muadilifu na hupenda kuonea na kunyanyasa wasio upande wake.
Hofu hii ndiyo inamfanya ajijengee ngome ya sheria ili akiaacha madaraka asishitakiwe.
Angekuwa msafi asingekuwa na hofu hizi! Anavunja sheria na katiba kwa makusudi ndiyo maana ya yeye kuanza kujiwekea kinga.
Na ndio maana yake, unapokimbilia kujiwekea kinga dhidi ya uhaini inamaana imepanga kufanya uhaini!
 
Na baada ya hapo kitakachofuata ni kumfanya awe mfalme, utawala usio na kikomo.

Unafikiri lengo la kuwakingia kifua hao jamaa wanaohusika na mchakato wa sheria na katiba ni nini?
Ndicho kitakacho fuata, amewaumiza wengi sasa mwisho wa siku atataka kufia ofisini ili kujilinda.
Lazima tulipinge hili sisi kama wananchi.
 
Back
Top Bottom