Muswada wa Marekebisho Sheria-2020: Unajua watu hawataweza kudai haki kwa niaba ya Wanyonge? Viongozi wa juu Serikalini hawatashtakiwa moja kwa moja!

Tanzania ni nchi ya tawala za kifalme, na ufalme halisi wa asali na maziwa unakuja kuanzia November, amini nawaambia miradi haitaisha miaka mi5 ijayo. Inclusivity sounds nice when used purposely for prospective moves. Tumuombe Mungu tushudie yote, Amina.
 

Lini wewe binafsi au chama chako kilipigania haki za wanyonge? Chadema wanakula Billion 8 na ushee zote zinakwenda kwa Mbowe yeye ni mnyonge? Hizo Asasi wao ni wanyonge au wanaangalia matumbo yao?
 
Masikini nchi yangu ni wapi inapoelekea? Hii sheria ikipita maovu yatatendeka hadharani bila hofu maana hakuna woga wowote wa kushtakiwa
 
Rais ndiye atakuwa kiongozi mkuu wa bunge akisaidiwa na mwanasheria mkuu. Huu mswada unapita kwa ndiyooo maana kule yamejazana mazuzu ya CCM.

YANI BUNGE HALITAKUWA na mamlaka kamili tena
 
Bunge hili linaongoza kuipindua katiba kinyume na kiapo chao.
 
Hii awamu ya uongozi sijui ina nia gani na nchi yetu. Kinachoendelea naona kitaweka misingi mibaya na ya kidikteta huko mbeleni, bahati mbaya wanaopitisha miswada hiyo ni wengi na wanafuika wa mfumo uliopo.

Mungu utunusuru.
 
Lengo ni raisi wa milele hayo mengine ni kujihami iwapo ngoma ikigoma
 
Kama nawaona wabunge wa CCM watakavopiga meza mara tatu,pwa!pwa!pwa!
 
Wao hata waweke Kinga ya kuzuia kifo still jela ipo pale palepale, either segerea au the Hague.
Ni laws of nature
 
Kuna mtu namtafuta anipe maoni ya haya yanayoendelea,bahati mbaya simpati. Natumai tutapata majibu mapema zaidi ya tutegemeavyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…